Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
Hayo ni mambo ya wanawake, wewe mwanaume unatoka nayo wapi??? Hili jukwaa lina heshima sana.

Mods, Please remove the thread.....

Kumbe alikuwa aolewe na Mwanamke mwenzake ??
By the way, nani kakwambia hili ni Jukwaa la wanaume tu na una uhakika gani kama mleta uzi ni Mwanamke.
Akili za A55 hizi aisee, Bwehehehhehehehehehehehehheehhe
 
heheheheeeeeeee ujanani alifanya kazi ya kukusanya mipesa ndio aliona priority uzeeni anataka awa 'boko haramu' waume za wenzie...afunge ndoa na mijumba yake sasa....hahahahahhaaaaaaa
".....2008 hadi mwanzoni mwa 2010. Nikiwa nafanya post doc Glasgow, nilijikuta ninamahusiano mabaya na Vicky K. Yes alikuwa Southampton Solent University akifanya Masters ambayo alifail. Kila Wiki alikuwa akija Glasgow. Nilimweleza nimeowa hapa tunapashana moto. Bint alichanganyikiwa mno ... mara kadhaa Kikwete alimpigia simu tumemchezea sana raisi ndiye aliyelipa fees. Mara nyingi tulimweka kwa spika. Alirudi bongo akawa mbunge. Nilijichomoa kwake nilirudi bongo 2011 mwisho
 
Aisee watu mna data!!!hatareeeeee!mambo hadharani sasa!
".....2008 hadi mwanzoni mwa 2010. Nikiwa nafanya post doc Glasgow, nilijikuta ninamahusiano mabaya na Vicky K. Yes alikuwa Southampton Solent University akifanya Masters ambayo alifail. Kila Wiki alikuwa akija Glasgow. Nilimweleza nimeowa hapa tunapashana moto. Bint alichanganyikiwa mno ... mara kadhaa Kikwete alimpigia simu tumemchezea sana raisi ndiye aliyelipa fees. Mara nyingi tulimweka kwa spika. Alirudi bongo akawa mbunge. Nilijichomoa kwake nilirudi bongo 2011 mwishoni yeye akawa na mahusiano bado na Kikwete na Eliakim Maswi. Alikuwa na pesa nyingi mno amewahi kunikutanisha na Chenge, Ngereja, Cheyo sehemu fulani Dar wakanisihi nikiwa na kadi ya CCM nitapewa ukatibu mkuu. Niliwajibu kisukuma nafsi yangu itanihukumu. VK amejitahidi nivunje ndoa niligoma nampenda mama mch yeye mchepuko. Tukakubaliana tuwe 2012 marafiki alinichukia mno mno. Ndoa kwake ni kitu anachokithamini sana. Anawatoto 2 Levo 16 yrs na Glory 5 yrs huyu ni wa Kikwete. Hii harusi amenitahidi mno Pinda hata Makinda wamelazimisha paroko nusu aingie kingi uongozi wa juu ulipozinasa ndoa isifunginge. Vicky nilimpima ngoma ndiyo maana nawaambiaga JK liko lizima..."
 
aliemshawishi kupata ubunge unafikiri anafurahia afunge ndoa
 
She has been through alot by now, mwacheni dada WA watu apumue, hakuna anayestahili matatizo
 
Kiu fupi kawekewa pingamizi na wanaume aliozaa nao watoto watatu wa kwanza , hayo ya vyeti ni kumlindia heshima tu .......haka ka dada ni kuchafua sana .....
Hivi hizi habari za udaku huwa mnazipata wapi kamanda?
 
".....2008 hadi mwanzoni mwa 2010. Nikiwa nafanya post doc Glasgow, nilijikuta ninamahusiano mabaya na Vicky K. Yes alikuwa Southampton Solent University akifanya Masters ambayo alifail. Kila Wiki alikuwa akija Glasgow. Nilimweleza nimeowa hapa tunapashana moto. Bint alichanganyikiwa mno ... mara kadhaa Kikwete alimpigia simu tumemchezea sana raisi ndiye aliyelipa fees. Mara nyingi tulimweka kwa spika. Alirudi bongo akawa mbunge. Nilijichomoa kwake nilirudi bongo 2011 mwishoni yeye akawa na mahusiano bado na Kikwete na Eliakim Maswi. Alikuwa na pesa nyingi mno amewahi kunikutanisha na Chenge, Ngereja, Cheyo sehemu fulani Dar wakanisihi nikiwa na kadi ya CCM nitapewa ukatibu mkuu. Niliwajibu kisukuma nafsi yangu itanihukumu. VK amejitahidi nivunje ndoa niligoma nampenda mama mch yeye mchepuko. Tukakubaliana tuwe 2012 marafiki alinichukia mno mno. Ndoa kwake ni kitu anachokithamini sana. Anawatoto 2 Levo 16 yrs na Glory 5 yrs huyu ni wa Kikwete. Mtumee Mohamd Yaani Unamaanisha Jk
 
Kutokana na habari zilizozagaa kwenye vyombo vya habari na mitandaoni kuhusiana na kushindikana kufunga ndoa jana kanisani kwa sababu muoaji alikuwa ni mume wa mtu ambapo mkewe alipeleka cheti cha ndoa kwa ajili ya pingamizi, kwa sasa hali ya mbunge huyo wa viti maalum wa CCM toka geita hali yake si nzuri kiafya na kisaikolojia.

Kwanza mimi nampa pole zake kama hakujua kuwa ni mume wa mtu na kama alijua huyo jamaa ni mume wa mtu mi nadhani amestahili aibu aliyoipata japo namuombea apate afya njema.

Je wabunge, wanasiasa na makundi mbalimbali mnasemaje?

Abadili Awe Mwislam Huko Hakuna Tabu,lakini Kwa Kanisa Katoriki Sheria Zake Kali Haliruhusu Ufusika Kama Wake.
 
hizo 96M bora akatafutie kaserengeti boy kakupozea akabadilishe maisha yake, huku nae akipata huduma.

Ndoa Ndoano.
 
Kuna mambo magumu mpaka unaogopa kucomment........uwiiiii.....
 
AFYA YA MH. VICKY KAMATA YAZIDI KUIMARIKA. NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WAMIMINIKA HOSPITALINI KUMJULIA HALI.



Na Steven Mruma.

Hali ya Kiafya ya Mh. Vicky Kamata aliyelazwa siku chache zilizopita, baada ya kuugua saa chache kabla ya Ndoa yake inazidi kuimarika huku ndugu jamaa na marafiki wakifika hospitalini kumjulia hali..
Asubui na mapema nilifika tena hospitali na kukuta baadhi ya ndugu jamaa na marafiki waliofika hospitalini hapo kumjulia hali Mh. Vicky..
Akiongelea afya yake Mh. aliendela kuwashukuru wote wanao muombea akiamini Mungu amesikia maombi yao na kwasasa hali yake imezidi kuimarika na anaweza kuruhusiwa wakati wowote kuanzia sasa.
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Baadhi ya ndugu zake [wadogo zake] waliofika kumjulia hali[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh. Vicky akiwa mwenye furaha baada ya kuwaona baadhi ya ndugu zake waliofika hospitali kumjulia hali[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kwa ufupi hiyo suti nyeusi ikipambwa na shati jeupe na tai ya dhambarau ndio ilikua ivaliwe siku ya harusi ya Mh. Vicky Kamata. [Pembeni kulia ni mdogo wake Mh. Vicky akiwa na gauni la Dhambarau [pupple] ilikuwa ni sare ya harusi[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh. Ummy Mwalimu akiwa hospitali alipokuja kumuona rafki yake kipenzi Mh. Vicky Kamata[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh. Ummy Mwalimu akizungumza na Mh. Vicky alipomtembelea hospitli mapema Leo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh. A. Mshama nae alifika hospitali kumjulia hali rafki yake wa karibu Mh. vicky Kamata[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Ijapokuwa alikua Hospitali watu mbalimbali walifika na zawadi zao kuonyesha upendo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
A comprehensive coverage. Nimeipenda...Pole mheshimiwa,GET well soonest!
 
Ndugu kama hutojali mimi naomba unieleze kwa nini ndoa yake imezuiwa kwa kuwekewa pingamizi?Na ni nani huyo alie haribu utamu?(kama unamjua)na hasa hicho kizuizi kilikuwa ni nini?@Nyasamaki
 
Ndugu mimi ni kama wewe tu sina moja wala kumi na moja , Nimeona hii ndio nikaleta tushee na wale wasiojaaliwa kuiona basiiiiiii, Mengineyo Akuuuuuu Siyajui Miye ..........
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom