Mbunge Viti Maalum Neema Lugangira ampongeza Rais Samia kwenda Marekani

CCM is somewhat dead. Imekusanya watoto na watu ambao hawajui nchi inataka nini. Unfortunately, CCM inafanya huu utoto utoto wakati ndiyo ilitegemewa kutoa strategic direction ya nchi in few decades to come. Katibu mwenezi ni yale yale. Dan naye naona kama amezidiwa hivi. Hawa wabunge ndiyo kabisaa hawana hata msaada. Mama kabaki mwenyewe akilaumu gazeti la chama kumshambulia!

Akajibu na kusema, Babeli umeanguka, umeanguka; na sanamu zote za miungu yake zimevunjwa chini. —Isaya 21: 9

Baberi yuko jera analiwa na papasi muda huu

USSR
Pole sana,
Wewe ambae usemaye "ccm ndio dini yangu ,magufuri nabii wetu", ndie wa babeli. Enenda ukatubu kwanza macho yako yafumbuliwe.
 
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni, Mbunge wa Viti Maalum CCM, Neema Lugangira amempongeza Rais Samia kwenda Marekani kuhudhuria Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

Sasa ndugu zangu wa Uvccm hili jambo nalo la kusifia kweli? Yaani sasa hivi kila jambo mnasifia kweli maisha bila unafki hayaendi! Enzi za JPM nae mlimsifia kwa kutokusafiri Ughaibuni!

Yaani maajabu hayajawahi kuisha huko CCM 😂😂😂

View attachment 1943839
Sifa za kinafiki chief Hangaya hapendi
 
Huyu dada anatafuta uteuzi kwa nguvu zake zote,

Amandla...
 
CCM is somewhat dead. Imekusanya watoto na watu ambao hawajui nchi inataka nini. Unfortunately, CCM inafanya huu utoto utoto wakati ndiyo ilitegemewa kutoa strategic direction ya nchi in few decades to come. Katibu mwenezi ni yale yale. Dan naye naona kama amezidiwa hivi. Hawa wabunge ndiyo kabisaa hawana hata msaada. Mama kabaki mwenyewe akilaumu gazeti la chama kumshambulia!
Mugambo wanaruka na kukanyagana
 
Shaka naye kampongeza rais kwa kuwaruhusu Chadema kuingia mahakamani na simu, wonders shall never end.
Yule Shaka kila kitu anasifia, ni dalili tosha kuwa hakutegemea kupata wadhifa alionao
 
drakelaugh.png
 
Chawa kama hawa huwa wanaishi vichwani. 🤣 🤣 🤣
Humkuti kwenye Boxa.
 
Back
Top Bottom