Mbunge Viti Maalum Neema Lugangira ampongeza Rais Samia kwenda Marekani

😁😁😁

Kuna mambo huwa yanakera kwa furaha...
 
Huyu mama ni kiazi flani mchumia tumbo,kapata ubunge kimagumashi ukimsikie huko bungeni anaongea utumbo tu
 
Nampongeza Ndugu Rais kwa kutoa pesa zake 50bn kwaajili ya NRF kununua mahindi yetu wakulima kwa Tsh 500 kwa kilo.
 
Huu upumbavu ndio unaofanya nchi nyingi za kiafrika zisiendelee na msingi wake ni katiba mbovu.Raisi anarundikiwa madaraka anakuwa mungu mtu,Rais yuko pale kutumikia watu na siyo matakwa yako, hizi kenge zinavyosifiasifia kutetea matumbo hazioni aibu kabisa
 
Eti hawa ndioo watunga sheria zetu, ni vilaza hawana mfanowe, ni walamba miguu hatari, magufuli kachangia kuukuza huu ugonjwa.
 
Hata ukijamba watakupongeza
 
Sasa kuna haja gani ya kusifia hapo , sasa c kawaida kwa raisi kuhudhuria hivyo vikao , ajabu ulikua kwa mwenda zake tu
CCM hapo wao wanaona kwenda huko kapanda cheo hivo wanampongeza. Tuwe tunaombea akili zetu wapendwa.
 
Muombe Sa100 akuletee nywele bandia akirudi.
 
Aisee na analipwa kwa kodi zetu kupongeza safari za marekani??
 
Viti maalum ndiyo nini? Wanawake wanajitapa kila siku wanaweza/maana yake wanalingana na wanaume, Sasa hivo viti ni vya nini? Kama majimbo yana wenyewe Hawa kazi yao bungeni nini? Nchi haina hela huko juu wanatapanya hata kidogo kilichopo! Aliyeanzisha wazo hili naomba mola amuondoe na familia yake maana kashaiingizia nchi hasara kubwa kwa hayo mawazo mgando. Tangu viti maalum vianze Hadi leo ni trioni ngapi zimepotea? Poor tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…