Mbunge wa Arusha Godbless Lema atembelewa na Wema Sepetu Nyumbani kwake

Wema Sepetu anaitumbua tu ruzuku ya chama ...makamanda waliopigania chama kama Yericko Nyerere wametoswa wanapiga miayo tu....poleni sana
Hayo ni mawazo yako
 
Wema Sepetu CHADEMA hamuwezi kum maintain.....CHADEMA mlivyo waroho wa pesa Wema ni mashine kubwa kumtunza ni ngumu mno huyo ATAWAFILISI TU
Kama alivyowafilisi ccm mpaka mkamzulumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…