Mbunge wa Arusha Godbless Lema atembelewa na Wema Sepetu Nyumbani kwake

Khaaa Warumi ustaarabu ni kitu muhimu sana.Na mbaya zaidi hakuna chuo cha kusomea ustaarabu.
 
Wema siku hizi ana gari kapewa na Chadema, na dereva juu anayevaa mavazi ya Chadema. Picha za jana hizo nimeziona mahala nami niewaletea mzione kama bado hujaziona. Anatanua balaa cheki pozi....wana Chadema oyeeeeeee mumshangilie.



 
Mbona kuna mambo ya msingi yanatusumbua zaidi ya huyo uliyechukua muda wako kuandika habari zake? Mbaya zaidi na kesho front page ya Tanzania Daima itakuwa hii habari. Wote tumekuwa malaya kama huyo mwanamke,sijui Nani katuroga?

ni kweli mkuu na hiyo habari kesho ndio Main TOPIC KWENYE TANZANIA DAIMA , picha zimeshaamfikia MHARIRI KWA WHATSUP NA KICHO UTAIONA HAPO MBELE kwenye gazeti letu pendwa
 
Kuwa makini na uzi wako hapa si mahala pa kuvuta mihadarati na kuja na uzi wa hovyo kama huo, isitoshe huyo Wema ni mwanamke nini shida sasa, Watch out.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
JF jamani sasa imekaa kivyake. Mtu unatiririka maneno hivyo bila shidaaa. Ulitaka Wema awape kina nani ka sio wanaume?? Ulitaka aka sagwe?? Huo mtarimbo uliousikia nawe umeutamani?? Jivike kombati tu uende Arusha utaukuta kabla hajamaliza ukwadu.
 
Aiseee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hivi Halima Mdee na wale wenzake, ila hasa yeye anapewaga umbele na wanaume wa Chadema au yeye walishamalizana naye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…