Mbunge wa Arusha Godbless Lema atembelewa na Wema Sepetu Nyumbani kwake

Ha ha ha aha
 
Acha chuki ni mbaya kiroho na hats kwa afya ya kimwili.Magonjwa kama pressure wakati mwingine husababishwa na chuki na roho mbaya@Mkuu Warumi
 
Ameshakwambia hata angepewa nafasi nyingine ya kuoa bado angemuoa Mke wake.Imekula kwako.

Utasubiri sana.Unapenda ubuyu utachonga viazi.
Waambie maana watu wanafananisha tabia zao chafu na za wengine..
 
Hivi jamani tunaacha kumpa pole Lema mpiganaji wa kisiasa ,mtetea wanyonge eti mna tangaza kutembelewa na mchafu kama wema!!hivi ana imfluence gani huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…