Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CCM,Mrisho Gambo aanza kazi kwa kishindo kwa kununua nondo zenye thamani ya milioni 25 kwa ajili ya ujenzi wa sekondari

CCM haipo Arusha, hayo maigizo yenu endeleeni nayo tu, but siku baba yenu akiondoka mkamkosa wa kuwabeba mgongoni, ndio mtaifahamu vizuri Arusha Mjini.
I'm afraid that will be a little bit too late! Wanasema "in politics, every minute counts"
 
Hiyo sio kazi ya mbunge kutumia hela zake huo ni upumbavu kazi yake nikushawishi serikali itoe hela
Ndio maana kwenye majimbo yenu na halmashauri mlizoongoza hamkufanya lolote mkiisubiri serikali kuu ilete mafungu.
 
Ndio maana kwenye majimbo yenu na halmashauri mlizoongoza hamkufanya lolote mkiisubiri serikali kuu ilete mafungu.
kweli nimeamini ccm wengi ni mataahira kama wewe hujui hata kazi ya muwakilishi wa wananchi
 
Kwa hiyo unapinga?
 
N
Nakubaliana na wewe Mheshimiwa ! Arusha mjini ccm haipo !!!
Kipindi cha nyuma tulikuwa tunaambiwa watu wa arusha mjini na Mbeya mjini ni moto wa kuotea mbali na kwamba hata polisi wanaweza kuchezea vitasa wakijaribu kuwabughudhi wabunge wao.

Matokeo yake:
Lema alipigwa ndani hakuna hata sisimizi akisogea.
Sugu alipigwa ndani hakuna hata sisimizi alisogea.

Hitimisho:
Wakazi wa Arusha na Mbeya ambao ni wafuasi wa chadema hawana tofauti yeyote na wafuasi kutoka sehemu nyingine za nchi. Yani wote ni mdebwedo kama tulivyoona juzi wote wakijificha uvunguni Lisu alipoitisha maandamano.
 
Maendeleo hata wakoloni walileta, hatutaki maendeleo ya maigizo, maana inaweza kuwa ni kutakatisha pesa chafu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani milioni 25 nayo ni ya kutakatisha?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani milioni 25 nayo ni ya kutakatisha?

Akina Tito Magoti wako ndani zaidi ya miezi 6, tena wako wanne kwa utakatishaji wa 17m pesa chafu! Sasa hiyo 25m si ni pesa ya hatari?
 
Hiyo sio kazi ya mbunge kutumia hela zake huo ni upumbavu kazi yake nikushawishi serikali itoe hela
Kwa hiyo akina Lema walitafuna mamilioni yote bila kurudisha fadhila kwa wapiga kura ? Aisee Afadhali Lema alipigwa chini na Chadema wenzao wamezidi uchoyo
 
Hiyo sio kazi ya mbunge kutumia hela zake huo ni upumbavu kazi yake nikushawishi serikali itoe hela
Kwa hiyo kazi ya mbunge Ni kuchonga mdomo tu bungeni ? Chadema ndio maana mumepigwa chini mkiambiwa na wananchi onyesheni mlichowafanyia wanamchi mnabaki Ohhh sisi Chadema kazi yetu sio kuleta maendeleo ya vitu Kama hivyo vya shule nk sisi kazi yetu Ni maendeleo ya watu sio vitu

Haya mkiulizwa hayo maendeleo ya watu kwenye majimbo yenu mlipokuwa wabunge Ni yepi mliyaleta Majimboni mwenu kipindi chote Cha ubunge wenu mnabaki kutoa mimacho utafikiri mjusi aliyefiwa na mkwewe hamna Cha kuonyesha

Hongereni Sana Wana Arusha na watanzania kuwapiga chini wabunge matapeli wa Chadema

Hongera Sana Mrisho Gambo una Cha kuwaonyesha wananchi
 
Arusha sasa ni moto,Gambo kijana mchapakazi anatiririsha maendeleo kama mvua.
Habari hizi za Gambo zimfikie mdaiwa sugu bwana Godbless Lema akiwa mafichoni Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…