Mrisho Gambo amekabidhi Nondo hizo zitakazotumika kujenga Sekondari ya Ghorofa maeneo ya Unga Limitedi Jijini Arusha
View attachment 1626445View attachment 1626446
Tuliahidi
Tunatekeleza
Apewe rushwa kwa lipi ?wajinga hamjiulizi pesa anatoa wapi! Biashara gani zaidi ya rushwa za wahindi!
Sasa kwaiyo ulitaka.asubili mpaka serekali.ufipa akili zenu mgando..sana.mbonaHiyo sio kazi ya mbunge kutumia hela zake huo ni upumbavu kazi yake nikushawishi serikali itoe hela
Kafanya jambo jema - lkn nisijuwe iwapo nondo hizo upatikanaji wake umetokana na ushauri wa wataalam coz ujenzi wa ghorofa huhitaji nondo zenye viwango vya juu vya uboraMrisho Gambo amekabidhi Nondo hizo zitakazotumika kujenga Sekondari ya Ghorofa maeneo ya Unga Limitedi Jijini Arusha
View attachment 1626445View attachment 1626446
Tuliahidi
Tunatekeleza
Apewe rushwa kwa lipi ?
Mbunge aliyepita alifanya nini! Zaidi ya kubugia tu bila kuangalia wananchi wake kazi ilikua kupiga domotu.CCM haipo Arusha, hayo maigizo yenu endeleeni nayo tu, but siku baba yenu akiondoka mkamkosa wa kuwabeba mgongoni, ndio mtaifahamu vizuri Arusha Mjini.
Sasa kwaiyo ulitaka.asubili mpaka serekali.ufipa akili zenu mgando..sana.mbona
Mrisho Gambo amekabidhi Nondo hizo zitakazotumika kujenga Sekondari ya Ghorofa maeneo ya Unga Limitedi Jijini Arusha
View attachment 1626445View attachment 1626446
Tuliahidi
Tunatekeleza