Tetesi: Mbunge wa Arusha Mjini pamoja na Meya wasakwa na Jeshi la Polisi

Ushauri mzuri sana kwa Gambo
 
Hata wakidhoofisha watalii huangalia tourism package kinachoibeba arusha na Kilimanjaro ni vivutio vingi mtalii anaweza kuanzia kupanda mlima then akaenda Ngorongoro, arusha national park. Kudhoofisha na fujo ni ujinga mtupu kuinvest kwenye utalii kuna involve vtu vingi
 
Magesa ndo yule alikuwa Arusha alikuwa anapambana sana na Lema ?kuna siku nimekutana kwenye basi naelekea Dar amechoka sana mpaka huruma
Tatizo watu wakipata madaraka hujisahau mno na kujiona Mungu watu, pole yake kwa kuisoma number.
 
Nimejsribu kufuatilia muda mrefu huyu mbunge wa arusha akiwa bungeni na jimboni na kwingineko anako kuwepo, kwa jinsi navyomtathmini yeye pamoja na mwenzake mmoja anaitwa Sugu, nawaona kama bado hawajakua kiakili au wana matatizo ya ukosefu wa busara na hekima ukilinganisha na wabunge wenzake wa upinzani na ndio maana hata hapa Arusha anakuwa amehusishwa sana na wale vijana wahuni na wasio na elimu ya kutosha au mambumbumbu. Hii kwa kweli haimpi status nzuri kwa watu walioelimika na wenye maono. Naomba achukue mfano wa mwenzake Mnyika. Mwerevu na yuko focused. Nadhani background yake ndio contributor wa behaviour zake, Afande Zombe aliwahi kusema Lema aliwahi kuhusika na biashara ya wizi wa magari kutoka Kenya, habari ambazo hakuzikanusha.
 
Adui wa Mwafrica ni yeye mwenye

Halafu utawaskia watu wenye akili za mende wanawatukana wazungu Kurudisha africa nyuma!

Kumbe wenyewe mnajirudisha nyuma kwa ujinga wenu!!
 
Lema is a criminal. Time will tell, over.
 
Mbona hawa wakuu wa mikoa amabao upinzani wameshika hatamu sehemu kubwa kila siku wao kwenye vyombo habari hawakauki ? Au ndio wanatumika kisiasa na mkulu ili kuwadoofsha hao wapinzani wao?
 
Gambo na Lema mbona wote ni vijana tu, wanatupa picha gani wanapo tuonyesha kutokuaminiana, Yaani wamefika mahara pabaya sana, hata salam itakuwa ngumu sasa. Hayo mambo ayawapendezi na nyinyi bado vijana wadogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…