Tetesi: Mbunge wa Arusha Mjini pamoja na Meya wasakwa na Jeshi la Polisi

Mtamtafuta kick mpaka gizani
Lakini Gambo kiboko ya Wapuuzi.

Lema ana kazi kwa Gambo
Lazima aelewe Gambo ni bosi wake
Apende asipende
Na Arusha gambo haondoki ng'o
NDO maoni yako au kakutuma. Vyovyote vile u RC katika awamu hii umeingia maji kutokana na jinsi wanavyoteuliwa.
 
Magesa ndo yule alikuwa Arusha alikuwa anapambana sana na Lema ?kuna siku nimekutana kwenye basi naelekea Dar amechoka sana mpaka huruma
Aise; nasikia Mwanza alikua anaishi hotelini; kama haya yote 2 ni kweli basi watu hua wanajisahau sana; yaani hata mwaka 1 hajamaliza toka atoke madarakani kachoka? Kweli siasa is a game of chance and luck.
 
Aise; nasikia Mwanza alikua anaishi hotelini; kama haya yote 2 ni kweli basi watu hua wanajisahau sana; yaani hata mwaka 1 hajamaliza toka atoke madarakani kachoka? Kweli siasa is a game of chance and luck.
Ndiyo nakumbuka alikataa kuishi kwenye nyumba ambayo alipewa na serikali akasema haina hadhi akawa anaishi hotelini JMP baada ya kuingia madaraka akapewa taarifa zake akamtema alikuwa na dharau na majivuno sana .Nasikia yupo huko kwao analima kwa sasa.
 
Vibaraka wa lema mko wachache sana. Endeleeni na ujinga wenu. Elewa lema amechaguliwa kwa kura chache kuliko raisi na gambo ni mwakilishi wa raisi. Ukiweza kutofautisha vitu hivyo viwili basi.
Lema amechaguliwa na zaidi ya wananchi 65,000
Gambo ameteuliwa na mtu mmoja huoni tofauti hapo?
 
Jamani Mh Raise Ana Imani na mkuu wa mkoa alituambia anasubiri kupandishwa cheo
 
Kwa jinsi anavyomuombea mabaya Rais wetu hakika Lema anatakiwa kunyea debe ili ajifunze adabu kwa wakubwa
yes.. kwa kasi hii lema atanyea debe lupango soon. Halafu lissu apige dili kumtoa kwa hela yao ya ruzuku.
 
Kwenye my take hapo.
Aliyechaguliwa na mtu mmoja ambaye kapigiwa kura na tz nzima au mmoja aliyechaguliwa na jimbo moja tena kwa ushindan??? Bila kupata kula zote??????? Mleta mada hunaga akil na wewe mpiga dil
Acha bangi kwani huyo aliyepigiwa kura nchi nzima hakuwa kwenye ushindani na kwani watu wote walimpa kura??
 
Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe..
 
Eti wq Tanzania mna akili.
My Foot
 

kama usemayo ni kweli basi ujinga wa kiwango cha juu kudhoofisha sehemu moja ili kuiinua sehemu nyengine zote za nchi moja.

tunajenga nyumba moja iweje tugombanie fito
 
Mtamtafuta kick mpaka gizani
Lakini Gambo kiboko ya Wapuuzi.

Lema ana kazi kwa Gambo
Lazima aelewe Gambo ni bosi wake
Apende asipende
Na Arusha gambo haondoki ng'o
Acha upuuzi wewe, Lema kachaguliwa na wananchi, Gambo kateuliwa. Lema ndo rais wa Arusha
 
Mkuu hayo ni matokeo ya elimu pasipo elimu. Sifa ya uteuzi ikiwa ni kujivika ujinga ili mradi chama dola mbele kwa mbele ndiyo matokeo yake. Bado miaka minne tutaisona namba
Ukweli kabisa ukiangalia walioteuliwa wengi hawana vigezo kabisa
 
Kwenye my take hapo.
Aliyechaguliwa na mtu mmoja ambaye kapigiwa kura na tz nzima au mmoja aliyechaguliwa na jimbo moja tena kwa ushindan??? Bila kupata kula zote??????? Mleta mada hunaga akil na wewe mpiga dil
Kwa Mbunge kama Lema Arusha wamepata hasara sana...inashangaza nchi hii kumchukua mvuta bange kisha ukamfanya mbunge
NRud tena kula elfu 65 zinazid iman ya watanzania milion kadhaaa?????
Siasa za upinzan hiv sasa ni kama walevi walevi wasiojitambua.

Wanatia huruma sana
Mmekuwa vichekesho...

Sasa kumbe ule UKUTA uko wap?

Uoga tuuuh...

Kumbe ule ukuta ulikua ni u Mr Bean tuh?

Teh teh teh
Pamoja na chuki zenu binafsi kwa Lema lazima mtambue Lema ni mbunge ambaye amechaguliwa na wananchi huyu Rc ameteuliwa na RC anatakiwa kufanya kazi kwa kufuata mipaka yake ya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…