Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ndiyo ÇCM, huyu anauza nchi Kwa waarabu huyu anamtusi mama Mkwe.Sijui kwanini watu wanalewa madaraka kijinga hivi, hata kama mwanamke kakukera kiasi Gani huwezi kumtusi Tena unamtukania Hadi Mama yake Mzazi.
Halafu huyu ndio unataka awe Kiongozi wa kupigania haki, kweli? CCM mnatukosea sana.
Kutofautiana sio dhambi ila Kuna namna ya ku-handle issues especially unapokua Kiongozi
View attachment 2679988
Sijasikia tusi lolote hapo miyeSijui kwanini watu wanalewa madaraka kijinga hivi, hata kama mwanamke kakukera kiasi Gani huwezi kumtusi Tena unamtukania Hadi Mama yake Mzazi.
Halafu huyu ndio unataka awe Kiongozi wa kupigania haki, kweli? CCM mnatukosea sana.
Kutofautiana sio dhambi ila Kuna namna ya ku-handle issues especially unapokua Kiongozi
View attachment 2679988
Uko sahihi kabisaSijasikia tusi lolote hapo miye
Hahaha wabunge wa mwendokasiNdo amepitisha mkataba wa bandari huyu??
Nyumba ya mbungeHayo mazingira ndo yamenitisha.
Aahaaaa,tapeli Hadi mapenziniHahaha wabunge wa mwendokasi
HahahahahaNdiyo ÇCM, huyu anauza nchi Kwa waarabu huyu anamtusi mama Mkwe.
Kitila kumbe mhaini , mla rushwa, Kikwete kimya as if haoni ubaya wowote katika mkataba huu.
Mwinyi huyo ananufaika na uuzwaji Tanganyika. Ndiyo CCM
Kuna siku watauza Figo za WatanzaniaAahaaaa,tapeli Hadi mapenzini
Shujaa wa mchongoShujaa Magufuli alituweza sana 2020!
Wabunge ndio wa mchongo😂😂Shujaa wa mchongo
Aahaaaa,wakifika huko nitaenda BurundiKuna siku watauza Figo za Watanzania