Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Sijui kwanini watu wanalewa madaraka kijinga hivi, hata kama mwanamke kakukera kiasi Gani huwezi kumtusi Tena unamtukania Hadi Mama yake Mzazi.
Halafu huyu ndio unataka awe Kiongozi wa kupigania haki, kweli? CCM mnatukosea sana.
Kutofautiana sio dhambi ila Kuna namna ya ku-handle issues especially unapokua Kiongozi