Mbunge wa CCM (Tabora) amdhalilisha mkewe hadharani

Mimi si mwanamke ila pia sioni dhambi Kwa MTU kuwa mwanamke, unless huna ndugu wa kike ndio utaongea ujinga
We ni pisikali usibishe au ushaleft unaona kabisa uko dume la mbegu jitathimini
 
We ni pisikali usibishe au ushaleft unaona kabisa uko dume la mbegu jitathimini
Wewe ni mpumbavu, huna akili na utoto unakusumbua, wewe sio level yangu. Mpumbavu wewe
 
Hujaoa au kuolewa that's why umekuja na hii conclusion uliza watu waliopo kwenye ndoa
 
Mwamba kaoa lini, kipindi anapambana kuchukua jimbo uchaguzi wa 2015 alikuwa anakaa zake hotel kisha anarudi Dar.

Itakuwa alisikiliza kelele za raia kwamba hana makazi sio mwenyeji akaamua aoe kabisa wana Mboka Manyema watulie, ndoa imemfanya aingie cha kike
 
Ile Tumekuwa tukiona ni really basi credibility Hamna
 
Halafu clip imeanzia katikati na kuishi kabla ya mwisho. Hatujui nini kilitokea kabla na baada ya clip hii. Halfu mtoa mada, embu nitajie matusi unayosema yametajwa
Umejuaje imeanzia katikati na haijafika mwisho
 
Kesi ya upande mmoja hii,ukisikiliza pande zote mbili Nafikiri mtazamo utakuwa tofauti
 


Ni wadhaifu pekee hugombana na wake zao, mwanamke mambo 2 weka msimamo, au Mpuuze, ikishindikana muache.
 
Huyo mwanamke malaya tu... Arudi mtaani akauze nyapu... Tatzo lenu wanawake mnapenda wanaume za watu hasa mkiona wamefanikiwa kimaisha... Mnadhan mkiolewa hamuwez kuachika 😅🤣
 
hiyo nyumba alipo huyo unayedai mke ipo Moro si Tabora
 
Kiukweli Duniani kama Tunawndelea kuishi na aina ya Wanawake wa Kariba hii sidhani kama kuna Mwanaume atathubutu kuwaoa Wanawake maana itakuwa maana ya kuoa ni Kujidhalilisha.
Mke anaenda kwa Mume Wake na Kamera ili amdhalilishe kwenye Mitandao ya Kijamii hapo ni hayo tuliyoyaona je ndani ilikuweje.
Tunauzoefu Wazazi Wetu Walioa Wanawake Zaidi hata ya Sita lakini hatujawahi kusikia Vibwrka Vya aina ya Anayejitaja Mke wa Mbunge.
Nadhani kitu kinachoitwa GBV kiangaliwe upya hii siyo nidhamu kwa Mume Wake
 
Mimi si mwanamke ila pia sioni dhambi Kwa MTU kuwa mwanamke, unless huna ndugu wa kike ndio utaongea ujinga
Usimuulize ndugu wa kike tuu, muulize kwani mama yake ni wa kiume?
Kuna watu wana dharau kuwa mwanamke kwa hoja za kijinga sana kwa vile wao ni wanaume.
 
ccm haijamtuma huyo mbunge kufanya hayo aliyofanya

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…