Mbunge wa CCM (Tabora) amdhalilisha mkewe hadharani

Mambo binafsi hayo hayatuhusu. Pia, iwe fundisho Kwa dada zetu kutoshobokea vya bure
Tambua huyo ni kiongozi wa umma , na pia fahamu kwamba Serikali imetunga Sheria ya maadili ya viongozi wa umma.
Katafute Sheria ya maadili ya viongozi wa umma na pia tafuta fomu ya tamko la Mali wanayojaza viongozi wa umma kila mwaka , utakutana na mambo mengi binafsi yanazungumziwa humo
 
Hawajui, wanaona kuwa Kiongozi ni lelemama! Kuna ethics zake Kuna Mambo inabidi uyakane! Asante sana
 
Sijui kwanini watu wanalewa madaraka kijinga hivi, hata kama mwanamke kakukera kiasi Gani huwezi kumtusi Tena unamtukania Hadi Mama yake Mzazi.

Halafu huyu ndio unataka awe Kiongozi wa kupigania haki, kweli? CCM mnatukosea sana.

Kutofautiana sio dhambi ila Kuna namna ya ku-handle issues especially unapokua Kiongozi
View attachment 2679988
Siwajui wote hao, lakini hili ninaweza sema.

Wanawake ni watu wa strategy sana, anaweza pangilia mazingira yampe matokeo atakayo. Ukitazama, hiyo ni video fupi sanaa, na imechukuliwa kwa mbinu baada ya kutengeneza mazingira ya kupata atakacho.

Jamaa anaonekan yupo na hasira na yaonekane amewekewa mtego na kupewa hasira ili atoe mwitikio huo alio toa. Ni mkewe, so ana muelewe mumewe nini nikifanya anatibuka kisha nipate cha kumvurugia vizuri mtandaoni.

Kauli za jamaa, ".... haiwezekan mnieleee maaskari kila siku .." hiii kauli yaweza kuwa ina kitu kinaendelea, as huyo mdada anataka ku take advantage ya uanamke wake na kucheza na system, regardless yanayo endeleea.

Ni wazi kuwa jamaa alijua ana recordiwa, lakini hakujali, means hiii ni kiwango cha mwisho kabisa cha fanya unalotaka nitabeba lolote lijalo kama matokeo.

Mwanamke alijua kuwa ameonwa ana recordiwa na simu yaonekana kaishika wazi pasi na kificho, hakuogopa matokeo ya hasira ya jamaa, yaonekana mwamba sio violence wa kuchezesha makofi na vipigo. Ni mama zetu but wanasilaha zao za maneno na ku provoke.

Lengo la video ni kudhalilisha na kuchafua tu na amevizia jamaa kajikaanga na mafuta yake kwa kuzama ktk mtego wa kujazwa upepo na akajaa. Utasikia anatoa utambulisho, " .. huyu ni mbunge wa Tabora, blah blah..."

Yamkini mwanamam anaanda mazingira ya talaka ikubaliwe ili wapasue mali ktk mgawanyo.

Wanawake ni wajanja sanaaaa.
 
Sijui kwanini watu wanalewa madaraka kijinga hivi, hata kama mwanamke kakukera kiasi Gani huwezi kumtusi Tena unamtukania Hadi Mama yake Mzazi.

Halafu huyu ndio unataka awe Kiongozi wa kupigania haki, kweli? CCM mnatukosea sana.

Kutofautiana sio dhambi ila Kuna namna ya ku-handle issues especially unapokua Kiongozi
View attachment 2679988
Na yeye kwanini amrekodi, wakati maswala ya kifamilia? Na wewe KWa nini ulete huku wakati hilo ni swala lao wenyewe? Au umbea unakusumbua?
 
Sasa kwa nini huyo mwanamke afanyie umalaya kwenye nyumba ya mwenzake?
Sijui kwanini watu wanalewa madaraka kijinga hivi, hata kama mwanamke kakukera kiasi Gani huwezi kumtusi Tena unamtukania Hadi Mama yake Mzazi.

Halafu huyu ndio unataka awe Kiongozi wa kupigania haki, kweli? CCM mnatukosea sana.

Kutofautiana sio dhambi ila Kuna namna ya ku-handle issues especially unapokua Kiongozi
View attachment 2679988
 
Mimi nimesikia "utaniuwa na sukari huwezi kufanyia umalaya ndani ya nyumba yangu" wanawake majanga tufanye makosa yote usifanye kosa kuchagua mke.

Hata ukipatia kuchagua leo kesho anaweza kuwa mbaya ukajuta.. wanawake wanabadilika badilika.. ni viume vinavyoongozwa na hisia na hormone zao
 
Sijui kwanini watu wanalewa madaraka kijinga hivi, hata kama mwanamke kakukera kiasi Gani huwezi kumtusi Tena unamtukania Hadi Mama yake Mzazi.

Halafu huyu ndio unataka awe Kiongozi wa kupigania haki, kweli? CCM mnatukosea sana.

Kutofautiana sio dhambi ila Kuna namna ya ku-handle issues especially unapokua Kiongozi
View attachment 2679988
Wauza bandari. Hawana aibu ya chochote. Kila kitu kwa Ccm ni sawa. Na manguo yao ya kijani
 
Sijui kwanini watu wanalewa madaraka kijinga hivi, hata kama mwanamke kakukera kiasi Gani huwezi kumtusi Tena unamtukania Hadi Mama yake Mzazi.

Halafu huyu ndio unataka awe Kiongozi wa kupigania haki, kweli? CCM mnatukosea sana.

Kutofautiana sio dhambi ila Kuna namna ya ku-handle issues especially unapokua Kiongozi
View attachment 2679988
Haya ni mambo binafsi usiyahusishe na madaraka ya mbunge ukiulizwa kalewa madaraka hapo kivipi una jibu?
 
Sijui kwanini watu wanalewa madaraka kijinga hivi, hata kama mwanamke kakukera kiasi Gani huwezi kumtusi Tena unamtukania Hadi Mama yake Mzazi.

Halafu huyu ndio unataka awe Kiongozi wa kupigania haki, kweli? CCM mnatukosea sana.

Kutofautiana sio dhambi ila Kuna namna ya ku-handle issues especially unapokua Kiongozi
View attachment 2679988

Naona unamtetea mwanamke mwenzio bila kujua chanzo
 
Aisee ukisikia ndoa kuchacha ndiyo huko sasa, huyu anamuona mwenzake atamuuwa mwingine anamuona tapeli.
 
Back
Top Bottom