Pale ndoa inapogeuka kuwa ndoano...
Ni wanaune wachache sana wanaoweza kuhimili taflani kama hii ktk hali tulivu licha ya chukizo na hasira zilizomjaa mhusika/ wahusika...
Alafu, mtu anapopaniki automatically anaweza kufanya jambo la ajabu bila kutegemea. Mfano: kuongea kwa sauti kubwa bila kujali yeye ni nani au nani atasikia... Kutukana, kupigana au kujeruhi pia...
Huu ni moja ya udhaifu mkubwa sana hasa kwa mwanaume/ wanaume... ili kupuka hali hii, ukiona mwelekeo wa maongezi yenu siyo mzuri ni bora ukanyamaza au kuondoka eneo hilo ...