Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
tukiachana na yote ya kisiasa kama mwanaume nipo upande wa mbunge huyo mwanamke jeuri sana,
na ndio tatizo lilipo angekua wise mother angetuliza yaishe kikubwa haya magumegume jau sana kurekodi kutafuta huruma,
hapo utakuta mwamba alikua silent hilo likaanza payuka na majirani washajua kitambo matatizo yao kabla hata mwamba hajatimba hapo
anyway watu hudhani wabunge wana pesaaaaa kumbuka kadri unavyopata vyeo na pesa majukumu huongezeka maana unajikuta wanao kutegemea wengi maana ndie uliyetoboa angalau kwenye family!