PreGE2025 Mbunge wa CCM unawaita Wananchi KENGE? Anaishauri DOLA iendeleze Utekaji na Uuaji dhidi ya Kenge (Watanzania)?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Anayewaita Watanzania kenge ukimuangalia alivyo na mwili usioeleweka kama kiroba cha mavi, unagundua kabisa hata akili hazipo timamu na ni pungufu. 🙌🏽
 
Wanaomjua uyu mbunge naomba aniambie elimu yake make sio kawaida mtu mwenye akili timamu kujizima data hiv wapigakura unawaita kenge tena Bungeni afu spka anamuacha aendelee tu kuchangia!!!!! Huko tunakoperekwa sio kabisa
 
Huyu ndio anatutungia sheria na kuisimamia serikali kweli....

Wer nt serious!
 
Bunge lq bongo ni kusanyiko la wajinga wanaojiita waheshimiwa!
 
Moja ya kosa la Nyerere ni huu muungano na hawa wasiojitambua
ni maombi yangu uvunjike
kila mtu akaijenge nchi yake
fikiria mtu kutoka znz ana jeuri ya kutusi watu kenge.
 
Nimemsikia Mbuge mmoja akiitaka serikali ishughulikie kenge wa ndani
na nje ya nchi. Lugha hizi ndizo zilizoleta kimbari huko Rwanda tujirekebishe na tuzingatie hoja. Huyo mbuge anayetoa lugha za kenge ajue huko Rwanda neno au tusi la kuwaita wengine ie Watusi- Mende lilichagiza vita kubwa.Tujirekebishe.
 
Tulishaambiwa karne nyingi nyuma kwamba jihadharini na wanawake.
 
Kenge kama kengez
Kenge yeye mwenyewe humuoni hata alivyo alivyo km Kenge fulani hivi, ujinga wa kuingiza wabunge Wajinga bungeni ndio huu sasa wanaenda kinyume na maadili ya bunge, stupid
 
Tulishaambiwa karne nyingi nyuma kwamba jihadharini na wanawake.
Hilo lipo wazi ujinga ujinga ukizidi sana ndio inakua hivyo kigezo cha bunge letu ni kujua kupiga domo basi hicho ndicho kigezo namba moja elimu na uelewa wako weka mfukoni kwako, madhara yake ndio haya unaingiza watu wanaanza kuita watu makengeza bungeni na kunyoosha kidole mpaka upande wa pili amehemkwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…