PreGE2025 Mbunge wa CCM unawaita Wananchi KENGE? Anaishauri DOLA iendeleze Utekaji na Uuaji dhidi ya Kenge (Watanzania)?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.

Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu.

"Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani mmalize na hao wa nje. Imekuwa kuna vitoto hata vidogo...uhuru tunao Tanzania tunafanya tunachokitaka lakini sio kumgusa Rais wetu kwa vile mnavyotaka," alieleza Mbunge Tauhida Gallos, Viti Maalum (CCM), Mjini Magharibi.

This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.

"Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani mmalize na hao wa nje. Imekuwa kuna vitoto hata vidogo...uhuru tunao Tanzania tunafanya tunachokitaka lakini sio kumgusa Rais wetu kwa vile mnavyotaka," alieleza Mbunge Tauhida Gallos, Viti Maalum (CCM), Mjini Magharibi.
Kumbe mbunge wa chupi, apuuzwe tu.
 
Huyu mwanamke mpuuzi mwenye sura mbaya , ana Elimu gani huyu ??

Huyu kichwan kajaza matope ya aina gan ?

Yaan Wananchi wanaopaza Sauti zao dhidi ya Uovu na Uhuni unaoendelea ,unawaita KENGE ?

Yaan Ubinadamu wa MTU unauvua kiasi Cha kumfananisha na Kenge ?? Ili uhalalishe Utekaji na Mauaji dhidi ya watu Hawa kwakua ni Kenge ,Kenge Mnyama asokua na maana yoyote ??.

Huyu mpumbavu vipi huyu?? Ndio kalewa na Pesa ya Kukaa Bungeni Kimyaa miaka mitano ,Kapewa nafasi kaona nayeye aongee aonekane yumo ? Kalevywa na Pesa ya Bure Bure !!

Mbunge mbumbumbu, unawashauri Watekaji waendelee kufanya utekaji na Uuaji ??? Kwa Lugha ya kawaida, KWAKE YEYE UOVU UNAOENDELEA SIO TATIZO KIKUBWA ANAENDELEA KUA MBUNGE ??.

Katika Nchi zinazofuata Utawala wa Sheria, huyu mpuuzi alitakiwa Ajiuzulu mara Moja, ninawaonea sana Huruma Wananchi wa Jimbo lake, na Sijui ni viti MAALUMU !!
 
20250525_161354.jpg
 
Usishindane na akili zilizohabika,wewe unaona sawa watu wameanza kupiga maaskofu,wameguka kuwa wanyama
 
Huyu mwanamke mpuuzi mwenye sura mbaya , ana Elimu gani huyu ??

Huyu kichwan kajaza matope ya aina gan ?

Yaan Wananchi wanaopaza Sauti zao dhidi ya Uovu na Uhuni unaoendelea ,unawaita KENGE ?

Yaan Ubinadamu wa MTU unauvua kiasi Cha kumfananisha na Kenge ?? Ili uhalalishe Utekaji na Mauaji dhidi ya watu Hawa kwakua ni Kenge ,Kenge Mnyama asokua na maana yoyote ??.

Huyu mpumbavu vipi huyu?? Ndio kalewa na Pesa ya Kukaa Bungeni Kimyaa miaka mitano ,Kapewa nafasi kaona nayeye aongee aonekane yumo ? Kalevywa na Pesa ya Bure Bure !!

Mbunge mbumbumbu, unawashauri Watekaji waendelee kufanya utekaji na Uuaji ??? Kwa Lugha ya kawaida, KWAKE YEYE UOVU UNAOENDELEA SIO TATIZO KIKUBWA ANAENDELEA KUA MBUNGE ??.

Katika Nchi zinazofuata Utawala wa Sheria, huyu mpuuzi alitakiwa Ajiuzulu mara Moja, ninawaonea sana Huruma Wananchi wa Jimbo lake, na Sijui ni viti MAALUMU !!

Mkuu naomba unywe maji kwanza kisha utuambie ni mbunge yupi huyo kaita watu kenge

Kisha ujiulize wewe mwenyewe kwanini umeanza kumtusi badala ya kumkanya tu?
Hujui kuwa makosa mawili hayafanyi kurekebisha bali yanapotoeha zaidi.

Busara ni kukemea matusi bila kutumia matusi kuyakemea.
 
Huyu mwanamke mpuuzi mwenye sura mbaya , ana Elimu gani huyu ??

Huyu kichwan kajaza matope ya aina gan ?

Yaan Wananchi wanaopaza Sauti zao dhidi ya Uovu na Uhuni unaoendelea ,unawaita KENGE ?

Yaan Ubinadamu wa MTU unauvua kiasi Cha kumfananisha na Kenge ?? Ili uhalalishe Utekaji na Mauaji dhidi ya watu Hawa kwakua ni Kenge ,Kenge Mnyama asokua na maana yoyote ??.

Huyu mpumbavu vipi huyu?? Ndio kalewa na Pesa ya Kukaa Bungeni Kimyaa miaka mitano ,Kapewa nafasi kaona nayeye aongee aonekane yumo ? Kalevywa na Pesa ya Bure Bure !!

Mbunge mbumbumbu, unawashauri Watekaji waendelee kufanya utekaji na Uuaji ??? Kwa Lugha ya kawaida, KWAKE YEYE UOVU UNAOENDELEA SIO TATIZO KIKUBWA ANAENDELEA KUA MBUNGE ??.

Katika Nchi zinazofuata Utawala wa Sheria, huyu mpuuzi alitakiwa Ajiuzulu mara Moja, ninawaonea sana Huruma Wananchi wa Jimbo lake, na Sijui ni viti MAALUMU !!
Ukitaka kumuuwa mbwa mpe jina baya
 
Back
Top Bottom