PreGE2025 Mbunge wa CCM unawaita Wananchi KENGE? Anaishauri DOLA iendeleze Utekaji na Uuaji dhidi ya Kenge (Watanzania)?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.

Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu.

"Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani mmalize na hao wa nje. Imekuwa kuna vitoto hata vidogo...uhuru tunao Tanzania tunafanya tunachokitaka lakini sio kumgusa Rais wetu kwa vile mnavyotaka," alieleza Mbunge Tauhida Gallos, Viti Maalum (CCM), Mjini Magharibi.

Kenge? Huyu naye akifa atazikwa na kenge bila shaka. Kweli hii ni shibe
 
This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.

Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu.

"Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani mmalize na hao wa nje. Imekuwa kuna vitoto hata vidogo...uhuru tunao Tanzania tunafanya tunachokitaka lakini sio kumgusa Rais wetu kwa vile mnavyotaka," alieleza Mbunge Tauhida Gallos, Viti Maalum (CCM), Mjini Magharibi.

Eeee, tutafika tuu!! Usidharau miguu ya kuku ndo imebeba mboga!!!
 
This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.

Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu.

"Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani mmalize na hao wa nje. Imekuwa kuna vitoto hata vidogo...uhuru tunao Tanzania tunafanya tunachokitaka lakini sio kumgusa Rais wetu kwa vile mnavyotaka," alieleza Mbunge Tauhida Gallos, Viti Maalum (CCM), Mjini Magharibi.

Wameshatona sisi ni takataka na wao ni binadamu.
 
Ana kiremba kichwani.

Ameshamaliza maisha.
 
Kenge ni wanaharakati ,wakosoaji ,wasiokuwa wazalendo(wanaopiga picha docs zinazoonyesha weezy wa sirikali) etc
 
This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.

Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu.

"Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani mmalize na hao wa nje. Imekuwa kuna vitoto hata vidogo...uhuru tunao Tanzania tunafanya tunachokitaka lakini sio kumgusa Rais wetu kwa vile mnavyotaka," alieleza Mbunge Tauhida Gallos, Viti Maalum (CCM), Mjini Magharibi.

ILA WANAONA WANANCHI HATUNA CHAKUFANYA HATA KUNYANYUA MKONO JUU YAO HATUEZI NDIO SABABU WANATUKANA WANANCHI.
 
This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.

Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu.

"Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani mmalize na hao wa nje. Imekuwa kuna vitoto hata vidogo...uhuru tunao Tanzania tunafanya tunachokitaka lakini sio kumgusa Rais wetu kwa vile mnavyotaka," alieleza Mbunge Tauhida Gallos, Viti Maalum (CCM), Mjini Magharibi.

Tujue elimu yake kwanza,isije ikawa divisio four ya point 28
 
This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.

Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu.

"Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani mmalize na hao wa nje. Imekuwa kuna vitoto hata vidogo...uhuru tunao Tanzania tunafanya tunachokitaka lakini sio kumgusa Rais wetu kwa vile mnavyotaka," alieleza Mbunge Tauhida Gallos, Viti Maalum (CCM), Mjini Magharibi.

Eh dotto magari kafikaje bungeni 😀
 
Binadamu wamekua Kenge ila na yeye ni kenge pia maana yeye ni mwafrika pia na tuko naye ndani.
 
This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.

Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu.

"Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani mmalize na hao wa nje. Imekuwa kuna vitoto hata vidogo...uhuru tunao Tanzania tunafanya tunachokitaka lakini sio kumgusa Rais wetu kwa vile mnavyotaka," alieleza Mbunge Tauhida Gallos, Viti Maalum (CCM), Mjini Magharibi.

Anapata wapi ujasiri huyu wa kuropoka hivi huku kwetu Tanganyika?
 
Katika Safari ya Wana Wa-Israel, wakitoka Misri kuelekea nchi ya ahadi ya Kanaani. Walifika mahali, wakawa wanasikia njaa na kiu sana, sasa wakaanza kumnung'unikia Musa kwamba amewatoa kule Misri walikuwa wanakula na kunywa hata kusaza. Sasa Musa anawaleta kwenye taabu !! Walimnung'unikia mno Musa, na Musa baada ya kuona watu wanazidi kumlaumu na kunung'unika akasema hapana ngoja nikamuulize Mungu aliyenipa hawa watu niwaongoze kuelekea Kanaani tunafanye? Musa akapewa maelekezo mazuri na mepesi kabisa kutoka Kwa Mungu. Sasa cha kushangaza Musa alipowarudia wale watu akawadharau na kuwaona wao ni waovu sanaa mbele za Mungu. Huwezi amini Musa pamoja na Haruni, walipewa adhabu palepale na Mungu.
Somo : Uongozi si stahili bali ni neema, ukipata uongozi kwa kuchaguliwa na watu au kuteuliwa, heshimu hao watu kwa sababu ni Mungu ameruhusu utumike kwa wakati huo lakini si kwa sababu wewe ni bora zaidi kuliko hao watu. Sijafurahia kuona Mhe. Mbunge anawaita watu kenge...Hii kauli ni mbaya mno, ni vizuri akipata wasaa aombe radhi hata kwenye kikao kinachofuata. Kweli hela ni nzuri na vyeo pia lakini tukumbuke Mungu yupo. Akikasirika ghadhabu yake ni kubwa sana na hakuna wakuizuia, Musa hakuamini kama Bwana Mungu angeliweza kumbadilikia kiasi kile.
Sina nyongeza nawatakia tafakuri njema.
 
This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.

Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu.

"Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani mmalize na hao wa nje. Imekuwa kuna vitoto hata vidogo...uhuru tunao Tanzania tunafanya tunachokitaka lakini sio kumgusa Rais wetu kwa vile mnavyotaka," alieleza Mbunge Tauhida Gallos, Viti Maalum (CCM), Mjini Magharibi.

Hii tunaihifadhi kwenye kumbukumbu kwa matumizi ya baadae
 
Halafu kumbe doto magari ndio role model wao kwenye matusi🤣🤣🤣😃
 
Back
Top Bottom