This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.
Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu.
"Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani mmalize na hao wa nje. Imekuwa kuna vitoto hata vidogo...uhuru tunao Tanzania tunafanya tunachokitaka lakini sio kumgusa Rais wetu kwa vile mnavyotaka," alieleza Mbunge Tauhida Gallos, Viti Maalum (CCM), Mjini Magharibi.