Hawa wanafaa kuwavamia kwenye akaunti zao kama wanalunyasi tulivyofanya kwa yule wa mwanza labda wangekuwa na adabu hata kidogoKumbe mbunge wa chupi, apuuzwe tu.
Hawa wanafaa kuwavamia kwenye akaunti zao kama wanalunyasi tulivyofanya kwa yule wa mwanza labda wangekuwa na adabu hata kidogoKumbe mbunge wa chupi, apuuzwe tu.
😂😂😂😂Madaraka ni kitu hatari sana duniani angalia namna wanavyopagawa hawa wapumbavu
Yeye mwenyewe kenge tu
Wewe unaujua je kama na wewe sio Kenge Msenge. Angalia hapo nyuma yako pana nini? Unatangaza kisirisiri.Mimi ni ilidhani
Mimi nilidhani kawaita ******* kumbe kawaita kenge tu ndio mnamaind ?!
Mimi nasema " Yeyote anayechochea na kushabikia vitendo vya uvunjifu wa amani katika taifa letu, awe mtanzania , mkenya au mtu wa nchi yoyote nyingine.
Awe mweupe au mweusi, awe mnene au mwembamba, awe mrefu au mfupi, awe tajiri au masikini.
MASEMA HUYO SIO KENGE TU, BALI HUYO NI KENGE MSEMGE!.
Hawa ni vilaza tu wa kisiasaHaya sasa Lucas Mwashambwa umemsikia ndg yako kutoka Zanzibar huko anakuiteni Watanganyika kenge, una lipi au una andaa majibu then uje na walaka?.
Aibu naona mimi 🙈🙈This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.
Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu.
"Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani mmalize na hao wa nje. Imekuwa kuna vitoto hata vidogo...uhuru tunao Tanzania tunafanya tunachokitaka lakini sio kumgusa Rais wetu kwa vile mnavyotaka," alieleza Mbunge Tauhida Gallos, Viti Maalum (CCM), Mjini Magharibi.
Amefariki yule Dada R.I.PYule mwimbaji wa injili alivoimba kuwa wanatuona manini sijui..akapewa kesi ya uchochezi. Hapa bungeni raia wa Tanzania wanaitwa kenge. Maajabu hayawwezi kuisha duniani
Vilaza wanakutukana siyo?Hawa ni vilaza tu wa kisiasa
bunge linatakiwa kuwa na wabunge smart kichwani, sio kuchagua/kuteua watu wenye upungufu wa akili matokeo yake ndio haya kuwa na wabunge wa ajabuajabuHuyu ndiye anadhihirisha huko bungeni kumejaa watu wa kiwango gani cha akili. Alivyoropokaropoka hapo anaona ameongea mambo ya maana sana. Ndipo uwezo wake wa akili ulipoishia.
Jamani, jamani, jamani, enyi raia wa nchi ya Zanzibar tuna nini tulichowakosea. Kwenu nchi yenu ya Zanzibar ni amani, na shwari. Mbona mnataka kuwagusa wakenya ? Mboni za macho ? Rwanda tu wamelidhalilidha jeshi letu hapo DRC mpaka aibu. Na Kenya tena?This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.
Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu.
"Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani mmalize na hao wa nje. Imekuwa kuna vitoto hata vidogo...uhuru tunao Tanzania tunafanya tunachokitaka lakini sio kumgusa Rais wetu kwa vile mnavyotaka," alieleza Mbunge Tauhida Gallos, Viti Maalum (CCM), Mjini Magharibi.
Hii hoja eti Mzanzibari akipat madaraka hii iache mar moja ... ila tujadili kuhusu hili la kengeThis is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.