PreGE2025 Mbunge wa CCM unawaita Wananchi KENGE? Anaishauri DOLA iendeleze Utekaji na Uuaji dhidi ya Kenge (Watanzania)?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.

Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu.

"Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani mmalize na hao wa nje. Imekuwa kuna vitoto hata vidogo...uhuru tunao Tanzania tunafanya tunachokitaka lakini sio kumgusa Rais wetu kwa vile mnavyotaka," alieleza Mbunge Tauhida Gallos, Viti Maalum (CCM), Mjini Magharibi.

Nimesikia kichefuchefu, hizi ndude nani anazipaga kura jaman, mdude amepotea hali sio nzr yaani Mungu atusaidie jaman
 
Wazanzibari wapuuzi kama huyu, ni vema wangekatazwa kugusa ardhi ya Tanganyika.

Baada ya huyu mama, sidhani kama itakuwa rahisi kupata Rais tena kutoka Zanzibar.
 
Hao hao anaowaita kenge ndio wamempa ulaji kala mpaka kavimbiwa halafu anajamba ushuzi kunuka, hana adabu kwa wananchi

Huyu ndiye anadhihirisha huko bungeni kumejaa watu wa kiwango gani cha akili. Alivyoropokaropoka hapo anaona ameongea mambo ya maana sana. Ndipo uwezo wake wa akili ulipoishia.
 
IMG-20250526-WA0023.jpg
 
Huyo ukute aliwekwa hapo kama kiburudisho cha wana-CCM kwenye mikutano na makongamano mbalimbali na ukute hana mume ili awe free kushushwa na kupandishwa kwenye magari ya vipngozi mbalimbali wa chama na serikali,na kama ameolewa mume wake ni wale wapo tu,hawana sauti,sasa anajiona nayeye anaweza eti kujenga hoja.Mjinga sana.Hatakama hatuna cha kuwafanya lakini wajue siyo vema,wakifa sisi tunaoitwa KENGE na MAJITU,ndo tunaochimba makaburi yao,na kukesha kwenye misiba yao,ilhali wenzake wako mahotelini wakiulizia ratiba za mazishi.Aache ujinga.
 
This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.

Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu.

"Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani mmalize na hao wa nje. Imekuwa kuna vitoto hata vidogo...uhuru tunao Tanzania tunafanya tunachokitaka lakini sio kumgusa Rais wetu kwa vile mnavyotaka," alieleza Mbunge Tauhida Gallos, Viti Maalum (CCM), Mjini Magharibi.

Dola ndiyo wanateka?
 
Sijategemea kauli itoke kwa mtu km yeye, ni ana familia huyu mwanamke?
 
This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.

Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu.

"Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani mmalize na hao wa nje. Imekuwa kuna vitoto hata vidogo...uhuru tunao Tanzania tunafanya tunachokitaka lakini sio kumgusa Rais wetu kwa vile mnavyotaka," alieleza Mbunge Tauhida Gallos, Viti Maalum (CCM), Mjini Magharibi.

Yaani watu walioumbwa na Mungu anawaita Kenge, ipo siku atazaa kenge ndipo atajua kufuru siyo nzuri
 
This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.

Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu.

"Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani mmalize na hao wa nje. Imekuwa kuna vitoto hata vidogo...uhuru tunao Tanzania tunafanya tunachokitaka lakini sio kumgusa Rais wetu kwa vile mnavyotaka," alieleza Mbunge Tauhida Gallos, Viti Maalum (CCM), Mjini Magharibi.

Huyu atashughulikiwa hapa hapa Dodoma.
 
Huu sasa upuuzi, unaita wapiga kura wako kenge. kenge alivyo mchafu na mlafi anafananishwa na binadamu. Tumedharauliwa sana leo
 
Back
Top Bottom