Mbunge wa Geita Mjini anatia mashaka. Anataka kusema Musukuma ni muongo?

Na kama kuna wakurugenzi wengine wanalionunuliwa V8?

Amandla...
Kama ni utaratibu unaokubalika kwa wote basi hana makosa kisheria japo bado morally ana makosa. Halmashuri zenye hospital ambazo wajawazito wanaambiwa wanunue hata gloves kupoteza fedha kwa kununua gari kama hili ni zaidi ya ushetani.
 
Kumuamini Msukuma unahitaji kwanza kuondosha ubongo kichwani... ama si yeye aliyeaminisha watu kuwa "mamvi" alikuwa "akijinyea!!??"
 
Hili utawafunga kamba wajinga lakini siyo watu wanaojua. Kwamba gari likiwa la bei kubwa ndiyo linadumu? Are you serious? Mimi nina uzoefu na magari na nakukuhakikishia kuna magari ya bei ndogo zaidi ya hili na servises zake + spare parts ni rahisi kuliko hili.
 
Kwani mimi nimekataa kwamba siyo wajumbe wa mabaraza ya madiwani ? Mbona una mambo ya ajabu sana wewe ? Nimesema msukuma siyo diwani wa GTC bali ni diwani wa GDC. Sasa wewe unalazimisha eti anaweza kuhudhuria Baraza la GTC kwa kigezo kipi ? Unajua kiwango cha elimu yangu au unajitekenya tu. Uwe na adabu basi unapoongea na watu wanaojua.
Kaa kimya, kama huwezi kasome sheria ya Tawala za mikoa serikali za mitaa,ndio maana Msukuma anakomaa anajua anachokifanya. Wote ni wajumbe wa wa mabaraza ya madiwani.
 
Hukusikia kelele? Ulikuwa wapi? Mbona wapinzani walilia sana na kusema ni upotevu wa muda, fedha na hakuna faida yoyote zaidi ya hasara? Kama unazungumzia hao wabunge basi ni kundi la mafisadi. Hata kelele wanazopiga ni kwa sababu wamezidiana maslahi na siyo kweli kuwa wana uchungu. Lakini haindoi ufisadi wa gari uliofanyika.
 
Kwa hyo unafananisha ki vitz chako kinachozunguka hpo hpo mjini hakimalizi hta km 20 kwa siku na gari ya mkurugenzi ambayo iko very busy kila siku ikitembea kilomita za kutosha tena kwenye barabara mbovu za vijijini?

Kwa mikiki ya kazi za serikali ukinunua gari ya mil 70 haitomaliza miaka 3 itakuwa ishakufa.
 
Msukuma alinyimwa mgao!

Nilitaka nisiandike lakini imebidi kuandika tuu
Ukweli huwa nakukubali sana Post zako Mkuu!
Unaongea Ukweli haswa zinazohusu CCM!
Msukuma kakosa Mgao tuu!
Yaani mi ningekuwa Mkubwa Nchi hii au Dunia hii...
Siwezi Kushawishiwa na Mtu kufanya Maamuzi eti kwa kuwa anaenishawishi ni Muongeaji sana au Ameshasema kwenye Media!
Hivi Kuna Magari mangapi ya Aina hiyo serekalini Mashirika,Halmashauri,Nk,nk?
Ika Kaongea Musukuma kasikilizwa Kafurahiiii katukuzwa kuwa akiongea kitu tuu kazima Kisikilizwe na Kitekekezwe!
Sometime inauma Ukiona Mtu anaonewa,
Basi tuu!
Hongera Kanyasu kwa kusema hivyo ingawa Unaweza Usisikilizwe kabisa,Sababu alieanza Kashasikilizwa na Kutekelezewa aliyoyasema!
 
Uchaguzi huwa unarudiwa kwa mujibu wa sheria,je bajeti ya kurudia uchaguzi mdogo huwa ni sh ngapi? Je huwa zinachachuliwa?
Kwa hyo hilo gari limenunuliwa kwa mujibu wa nn!?

Maana tunaambiwa hadi ofisi ya waziri mkuu iliridhia.
 
Kwanini umekimblia kusema Vitz? Ndiyo gari la rahisi tu au ni ndiyo gari la rahisi unalolijua tu?
 
Hapana tunazungumzia mambo yenye ushahidi,,hili la wabunge kununuliwa mimi sina hakika,,labda utuletee uthibitisho
Naona una act km umeona utupu wa mama mkwe, unaona live kbsa yupo uchi ila unajifanya huoni.

Na huu unafiki ninaoukataa.
 
Mbona kwenye kampeini za mkulu misafara yake ilikuwa imesheeni magari hayo hayo ya bei mbaya,na hakuna aliyehoji.
Au Geita ndiyo halmashauri pekee yenye gari la aina hiyo nchini?.
Acheni kumtoa kafara mkurugenzi wa watu.
Wabongo wanafiki sana mkuu.
 
Ahaaaa, mbona anamandate ya kuingia kwenye vikao vya baraza la madiwani? Sababu ni mbunge wa jimbo ndani ya wilaya ya Geita. Mbona anahoji juu ya pesa za Csr bil 10? Mbona alipigwa mabomu ili wapate pesa za Csr yeye na madiwani wenzake na kuswekwa ndani

Unaweza kuwa umesoma lakini hujaelimika,ndio maana hujui muundo wa baraza la madiwani.
 
Hawa wasukuma Bwana Naona wanashida vichwani mwai.Infact ulimsikiliza yule mkurugenzi inaonekana taratibu zote zilifuatwa Kama mpaka ofisi ya waziri mkuu ilitia nataka then Naona yule mkurugenzi Hana kosa na ninachokiona Hapo kuna hidden agenda.Mgao
Tatizo kubwa ni origin ya wazo! Hakuna anayebisha kuwa taratibu hazikufuatwa. Unapopanga kitu lazima uwe na uhakika kama kipo katika sheria na taratibu za kazi katika daraja lako. Hivi unajua kuwa ukikuta katika akaunti yako imeigizwa let say million 100 ukazitumia ni kosa la jinai? Kosa lake ni kuomba kibali cha kununua gari lililo juu ya stahiki yake. @nyankurungu200
 
hayo yote ni matapeli ya CCM
 


Hawa waliokosa uwaziri wana mambo mengi kichwani. Halafu pengine hawaelewani na Msukuma. Siasa nazo mara nyingine mtihani sana
 
Hapo kwenye sentensi ya kwanza nimepapenda!
Kwani hizo sifa ulizozitaja zinapatikana wapi hapa duniani nje ya utawala wa awamu ya 5 chini ya JPM? ....au hili limefanyika nchi nyingine/awamu nyingine?
Haya, tunaosubiri tuendelee kusubiri viwanda vikubwa vya kuzalisha nguo na hata magari na badae kuwapelekea wazungu 'used' kutoka tz
 
Kama anakosa la kuomba kibali ambacho ni juu ya uwezo wake kwa nini Gpsa walinunua? Kwa nini PM alitoa kibali? Kwa nini ujenzi watoe spicifications?
 
Wakati huo alikuwa ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa GEITA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…