π³Familia ya Yakobo inasingiziwa sana hiyo family. Uzuri Mungu ndiye custodian wake. Oh LORD bless Israel.
Promise no 2 usisaau uliwai kutupia picha Israel ikipigwa kama ngoma!!!!Hiyo ilikuwa beeping tu, bado hao Iran watapigiwa simu.
Akili kisodaUsiombe iwe Israel !!!
ndugu pata picha ya ile Promis no 2 sasa ije ilenge Bandari sijui km kuna ata gati litabaki apo Israel !!!
yumkin Iran kajipiga mwenyewe kijajusi ili amalize shuhuri za Bandari uko Israel !!!
Muiran ajawai kuniangusha ahadi y kweli ,,,,
Nlisema watasema tu. Halafu kuna vidampa humu huwa wao wanaijua Irani kuliko hutu mbunge ambaye amekiri kipigo Webabu Ritz Adiosamigo Sir John Roberts wenzetu wameanza kutoa milio.Mbunge wa Irani anaishutumu Israel kwa mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas na kufichua maelezo mapya kuhusu kilichotokea jana:
Mohammad Saraj, Mbunge wa Irani, kwenye mlipuko kwenye bandari ya Bandar Abbas:
"Mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas haukuwa wa bahati mbaya. Kuna dalili za wazi za kuhusika kwa Israel.
Milipuko hiyo ilitokea kwa wakati mmoja katika maeneo manne tofauti, ikionyesha kuwa vilipuzi vilitegwa ndani ya makontena hayo.
Kemikali huwaka katika sehemu moja na haisababishi milipuko mingi kwa wakati mmoja katika maeneo tofauti.
Makontena hayo 'yalichezewa' ama katika nchi yalikotoka wakati wa usafiri, au na mawakala wa ndani nchini Iran.
Huenda milipuko hiyo ilisababishwa/kuteguliwa na satelaiti au vipima muda(Timer) zilizowekwa kwenye makontena na kusababisha uharibifu mkubwa zaidi wakati yalipowasili bandarini." Kulingana na vyombo vya habari vya Iran, idadi ya waliofariki kutokana na mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas imeongezeka hadi 40, na idadi ya waliojeruhiwa imeongezeka hadi 1,205. Moto bado unawaka bandarini, siku moja na nusu baada ya mlipuko huo.
View attachment 3317853
Kwa mlipuko huo si watu 40 tu ni zaidi ni kawaida ya Iran kuficha ili ionekane hajapata madhara hata Oct 26,2024 alipopigwa na majeshi ya Israel na kuharibiwa kwa mifumo yake ya ulinzi wa anga alinyamaza kimya akasema hajapigwa wakati huohuo katangaza kuna The promise-3 ambayo alishindwa kuitekeleza mpaka leo kwa sababu nchi yake ilikuwa iko uchi wa Mnyama haina mifumo ya ulinzi wa anga aliona angepigwa kama Mbwa-Mwizi.!!!!Wakibaini ni Israel, Tutasikia Op true promise 3... Watu 40 ni wengi Sana...
Kakungutwa iran na aliambiwa asiseme na kakaa kimya hajasema ila isra mbabe sanaUsiombe iwe Israel !!!
ndugu pata picha ya ile Promis no 2 sasa ije ilenge Bandari sijui km kuna ata gati litabaki apo Israel !!!
yumkin Iran kajipiga mwenyewe kijajusi ili amalize shuhuri za Bandari uko Israel !!!
Muiran ajawai kuniangusha ahadi y kweli ,,,,
Mtu anaye ita watoto wa watu mbwa lazima na yeye atakuwa mbwa koko tu. Nasema Iran akipata dalili ni Israel kafanya vile safari hi Tela Aviv hapata kalika.Mbunge wa Irani anaishutumu Israel kwa mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas na kufichua maelezo mapya kuhusu kilichotokea jana: