Mbunge wa Iran aishutumu Israel kwa mlipuko wa Bandar Abbad

Kwani hawa wa Dodoma ni kama wale wa Irani?yaani wewe upo mbwinde huko unambishia Mbunge aliyeko Iran?🤣 Nyie hampendi shule kabisa sijui kwa nini.
We wachana na story nyingi kila mbunge akiongea kitu ni kweli. Jeshi la Iran linasema mlipuko ulikuwa ni mdogo sana kwa kuwa hawakuchukua action haraka ndio ukasambaa. Israel oh Israel ni nini zaidi ya omba omba kwa USA.
 
Sasa wewe unategemea jeshi lisemeje? Daaah nyie watu huwa kumbe hamtumii kabisa akili.
 
Promise no 2 usisaau uliwai kutupia picha Israel ikipigwa kama ngoma!!!!

ukidai ndio Iran inapigwa sasa uwe mpole !!!

Waisrael wenyewe uko Matumbo joto !!!!

Pengine tukio limepangwa na Majasusi wa Iran ili kumshikiza Ayatollah Asaini Promise no 3!!!

kaaa kwa kutulia kuna kitu kinakuja Son!!
Utakuwa unavutiaga bange mskitini wewe sio bure..
 
We wachana na story nyingi kila mbunge akiongea kitu ni kweli. Jeshi la Iran linasema mlipuko ulikuwa ni mdogo sana kwa kuwa hawakuchukua action haraka ndio ukasambaa. Israel oh Israel ni nini zaidi ya omba omba kwa USA.
Nenda kwenye page ya Aljezira wameweka video ya drone kuonesha hali ilivyo baada ya moto kuzimwa.

Nilipoona hiyo video nimehitimisha kwa kusema kwamba MOSSAD ni nyoko.

Na itawachukua muda sana Wairan kurekebisha miundombinu pale.
 
Waisrael halisi ni Dark skinned, broad face and nose walitawanyika kwa dhiki wengine ulaya lakini cha kushangaza waliorudi wote ni Wazungu kutoka Poland, Russia, Uingereza, Ujerumani America waliwakuta wenyeji walajifunza lugha yao ya kiibrania, sasa hao org dark skinned waliwaua au vip??
 
Hi ina uhusiano wowote na UZI hu?
 
Back
Top Bottom