Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Mbunge akisema kitu ndio kiwe π― Kwa hio we unakubaliana na wabunge wote pale Dodoma sio π π€£Nlisema watasema tu. Halafu kuna vidampa humu huwa wao wanaijua Irani kuliko hutu mbunge ambaye amekiri kipigo Webabu Ritz Adiosamigo Sir John Roberts wenzetu wameanza kutoa milio.
Kwani hawa wa Dodoma ni kama wale wa Irani?yaani wewe upo mbwinde huko unambishia Mbunge aliyeko Iran?π€£ Nyie hampendi shule kabisa sijui kwa nini.Mbunge akisema kitu ndio kiwe π― Kwa hio we unakubaliana na wabunge wote pale Dodoma sio π π€£
We wachana na story nyingi kila mbunge akiongea kitu ni kweli. Jeshi la Iran linasema mlipuko ulikuwa ni mdogo sana kwa kuwa hawakuchukua action haraka ndio ukasambaa. Israel oh Israel ni nini zaidi ya omba omba kwa USA.Kwani hawa wa Dodoma ni kama wale wa Irani?yaani wewe upo mbwinde huko unambishia Mbunge aliyeko Iran?π€£ Nyie hampendi shule kabisa sijui kwa nini.
Sasa wewe unategemea jeshi lisemeje? Daaah nyie watu huwa kumbe hamtumii kabisa akili.We wachana na story nyingi kila mbunge akiongea kitu ni kweli. Jeshi la Iran linasema mlipuko ulikuwa ni mdogo sana kwa kuwa hawakuchukua action haraka ndio ukasambaa. Israel oh Israel ni nini zaidi ya omba omba kwa USA.
Mimi natumia pua badala ya akili π π€£Sasa wewe unategemea jeshi lisemeje? Daaah nyie watu huwa kumbe hamtumii kabisa akili.
Utakuwa unavutiaga bange mskitini wewe sio bure..Promise no 2 usisaau uliwai kutupia picha Israel ikipigwa kama ngoma!!!!
ukidai ndio Iran inapigwa sasa uwe mpole !!!
Waisrael wenyewe uko Matumbo joto !!!!
Pengine tukio limepangwa na Majasusi wa Iran ili kumshikiza Ayatollah Asaini Promise no 3!!!
kaaa kwa kutulia kuna kitu kinakuja Son!!
Nenda kwenye page ya Aljezira wameweka video ya drone kuonesha hali ilivyo baada ya moto kuzimwa.We wachana na story nyingi kila mbunge akiongea kitu ni kweli. Jeshi la Iran linasema mlipuko ulikuwa ni mdogo sana kwa kuwa hawakuchukua action haraka ndio ukasambaa. Israel oh Israel ni nini zaidi ya omba omba kwa USA.
Kwamba wewe muiran wa kisiju unajua kuliko muiran halisi alieko Tehran tena mbunge?We wachana na story nyingi kila mbunge akiongea kitu ni kweli. Jeshi la Iran linasema mlipuko ulikuwa ni mdogo sana kwa kuwa hawakuchukua action haraka ndio ukasambaa. Israel oh Israel ni nini zaidi ya omba omba kwa USA.
Hi ina uhusiano wowote na UZI hu?Waisrael halisi ni Dark skinned, broad face and nose walitawanyika kwa dhiki wengine ulaya lakini cha kushangaza waliorudi wote ni Wazungu kutoka Poland, Russia, Uingereza, Ujerumani America waliwakuta wenyeji walajifunza lugha yao ya kiibrania, sasa hao org dark skinned waliwaua au vip??
Haina labda haijatajwa neno Israel kama imetajwa itakua inahusika kwa ufafanuzi zao na tabia zaoHi ina uhusiano wowote na UZI hu?