Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

Hata wakat Wa mkoloni hayo yalifanyika ya baadhi ya waafrika kusaliti umma na kumuunga mkoloni sishangai hata wabunge wote wakihama poa tu but tunahitaji Tanzania mpya yenye kuheshimu misingi ya kisheria
 
Write your reply...chadema inapukutika sbb ya upuuzi wa mbowe...anatema big g kwa karanga ya kuonjesha leo yanamkuta.intelejesia ya cdm ya kipindi kile cha dr slaa iko wapi.lowasa ni mpango wa ccm wakuiua cdm
 
"Mimi sikujiandaa kuwa mpinzani kwakweli, mimi nilijua 2015 tutashinda na nitakuwa serikalini"- Julius Kalanga,

Aliyekuwa Mbunge wa Chadema-Jimbo la Manduli, aliyasema hayo wakati akijiuzulu Ubunge na Kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.
 
Wewe ni mtu gani una lilia demokrasia halafu una shangaa gharama kwenye demokrasia?
Hapo ndio kazi ilipo, Chadema wanajifanya kulilia demokrasia ila watu wao wakihama wanaanza kulalamika na kutoa lugha za kejeri sijui maana ya demokrasia wanaijuia?

Au kwao demokrasia ni Mbowe kukatalia uenyekiti
 
Siasa hii ya viongozi wengi wa chama cha upinzani kujiudhuru nyadhifa zao na kuhamia chama tawala zinafanyika katika nchi ya Tanzania pekee.
Siasa za namna hii kwanza zinaondoa imani ya wananchi kwa vyama vya upinzani.
Pia zinachangia sana wapigakura wengi kususia kupiga kura wakati wa uchaguzi.
Tena zinapunguza kura nyingi kwa wagombea wa upinzani.
Mwisho zinadhihirisha udhaifu wa vyama vya upinzani.
Kwa mwendo huu wa kujiudhuru udhuru na kuhamia hamia lengo la vyama vya upinzani la kuchukua dola halitafanikiwa katika muda unaotarajiwa.
Baadhi ya viongozi wa upinzani wanakosa heshima kwa jamii kwa tabia hii wanayoinesha.
Hapa si pa kuisingizia CCM bali pa kujutia.
Kama unanunulika wewe ni dhaifu, kama hujiamini wewe ni dhaifu, kama unakimbia matatizo ya chama badala ya kuyatatua ndani ya chama wewe ni dhaifu, kama una siasa za kuchumia tumbo wewe ni dhaifu tu. nk
Kwa ujumla upinzani wa Tanzania bado ni dhaifu sana.
Tunaupima udhaifu huo wa kusumbua wapiga kura wa upinzani toka enzi za TLP, NCCR, CUF na sasa CHADEMA.
Wananchi wanakosa chama cha kukiamini matokeo yake wengi hawapigi kura.
Siku Tanzania kikatokea chama cha upinzani imara na chenye viongozi makini, hakika kitachukua dola kiulaini kabisa.
 
Siasa bana..
Mbunge / anahama chama kwa madai kwamba wabunge wa upinzani wanalazimishwa kupinga bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti alafu unahamia chama ambacho wabunge wanalazimishwa kupitisha bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti vilevile
This game is costly and show how shallow minded people in politics are. Our stupidity, Poverty and ignorance in matters of social development are put bare
 
Wanarudi kwao
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    27 KB · Views: 25
Tatizo sababu wanazozitoa kwa kuhama kwao huwa hazina mashiko yoyote yale na badala yake zinawavua nguo na kuonesha ni kwa vipi hawawezi kutumia baraka waliyopewa na Mwenyezi Mungu za kuwa binadamu badala ya Ng'ombe!!
Sababu yenye mashiko kwako ni ipi? Au unataka waseme unachokifikiria wewe?

Mimi kwangu kwanza hata hawakutakiwa kutoa sababu maana kuhama ni haki yao
 
Enyi watu wa UKONGA na MONDULI msikubali kurudia uchaguzi wambieni hizo hela wawatatulie tatizo mlilonalo katika Jimbo au wakiforce waambieni tatueni matatizo yetu Kwanza ndio uchaguzi ufate huu ni upuuzi mkubwa yaani bado miaka 2 mtu anashindwa kusubili uchaguzi mkuu
 
Miaka mitano ikiisha huu ndio utakaokuwa "Mafanikio" ya hii serikali. Hamna la zaidi. Very hopeless indeed.
 
Binafsi namuelewa Mb Leizer.

Kukaa chama kimoja ni mtu kama Mbowe na wahuni wenzake kama Lema na Msigwa sio kazi rahisi.

Hivyo wanaohama tunawakaribisha sana CCM na kwa taarifa zilizopo ni kwamba mpaka kufika 2020, wabunge wasiopungua 15 wa CHADEMA wa majimbo watakuwa wamehamia CCM na wote watarudi bungeni kwa tiketi ya CCM.

Kwa kusema hayo na kuangalia mambo mazuri yanayoendelea kufanywa na serikali ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa 2020 hakutakuwa na chama chochote cha upinzani bungeni.
 
Serikali ikiwa na akili za matope ndio unaona haya,unamhonga mtu ili ajiuzulu ahamie ccm halafu bdae unarudia uchaguzi kwa gharama zingine hiyo sio akili,tunaongozwa na awamu ya wajinga wa kiwango ajabu.
Hata ile PHD yke alinunua mana ndio tabia yke halafu anasimama jukwaani na kusema anachukia rushwa kumbe yeye ndio mpenda rushwa kuliko wote
 
Unafiki na ubinafsi wa wanasiasa wa Tanzania unaimaliza demokrasia yetu.
 
Binafsi namuelewa Mb Leizer.

Kukaa chama kimoja ni mtu kama Mbowe na wahuni wenzake kama Lema na Msigwa sio kazi rahisi.

Hivyo wanaohama tunawakaribisha sana CCM na kwa taarifa zilizopo ni kwamba mpaka kufika 2020, wabunge wasiopungua 15 wa CHADEMA wa majimbo watakuwa wamehamia CCM na wote watarudi bungeni kwa tiketi ya CCM.

Kwa kusema hayo na kuangalia mambo mazuri yanayoendelea kufanywa na serikali ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa 2020 hakutakuwa na chama chochote cha upinzani bungeni.
Wana ccm njaa na awamu hii ndio njaa zitawaua toka buku 7 mpka buku
Screenshot_2018-07-18-11-57-57-1.jpg
 
Write your reply...kumbe pole pole alipanda dege letu ili akampokee jamaa...basi sawa
 
nadhani kwasasa tumeshazoea hii wala sio habari tena.2020 tutachagua wanachadema wenzetu
 
Back
Top Bottom