idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Chadema wanachama waliwatupa 2015, sasa hivi wamebaki na mashabiki tu.wanarud walipotoka tafuten wanachama siyo mashabiki tuuu.. CCM ina wanachama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema wanachama waliwatupa 2015, sasa hivi wamebaki na mashabiki tu.wanarud walipotoka tafuten wanachama siyo mashabiki tuuu.. CCM ina wanachama
Wabunge wanne wa chadema kipindi hicho walikua wamaana sana kuliko hawa 40+ wa saiz wamekua ni mzigo kwa taifa.Wakolomije watambue CDM ilikuwa na Wabunge Wanne tu kina Zitto na Slaa etc enzi hizo na ikavuma,kwa sasa wapo wengi,wameondoka hao wa3 bado wapo Majembe ya kutosha yasiyoyumba,ni kipindi cha mpito tu hiki,wachumia tumbo wanajichuja wenyewe vipande 250m vya fedha unauza utu.
Kwani huyo kahama kwasababu ccm wanafanya mikutano ya kisiasa?Kama hakuna unaeshindana nae huko huwezi kusema ni kushambulia. Kama wanataka kushambulia wawaache na CHADEMA nao wafanye siasa!
Na possibly kuna mkono wa lowasa hapo.Sio rahisi kiivyo mbunge toka monduli ahamie ccm,SIO RAHISI.Mkuu kama una namba yake, mshauri amsihi Lowassa warudi wote ccm. Wameifubaza cdm.
Hizi siasa hazijaanza mwaka huu,ukifuatilia zimeanza pindi lowasa anataka kuhamia chadema.Madiwani wote monduli walijiuzuru.Upinzani ulifurahi sana,saiz kwa mfumo uleule lowasa anatanguliza watu wake mbele kurudi ccm.Wakirud wote utasikia naye anasema anastaafu siasa au anarudi nyumbani.Kuna haja ya wanazuoni wa kimataifa si hawa wa bongo kuja kuitafiti aina mpya ya siasa tunayoiendesha hapa tz ni kwa faida ya vizazi vijavyo..lakini tanzania ni ya pili kwa vivutio vya utalii duniani si mbaya kuongeza utalii wa siasa pia
Wakiwa hakuna iwe kazi rahisi kwenu kamungu kenu kaendelee ili kutimiza jaribu kubwa la tamaa ya moyo wake.Binafsi namuelewa Mb Leizer.
Kukaa chama kimoja ni mtu kama Mbowe na wahuni wenzake kama Lema na Msigwa sio kazi rahisi.
Hivyo wanaohama tunawakaribisha sana CCM na kwa taarifa zilizopo ni kwamba mpaka kufika 2020, wabunge wasiopungua 15 wa CHADEMA wa majimbo watakuwa wamehamia CCM na wote watarudi bungeni kwa tiketi ya CCM.
Kwa kusema hayo na kuangalia mambo mazuri yanayoendelea kufanywa na serikali ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa 2020 hakutakuwa na chama chochote cha upinzani bungeni.
Hata hii la lisu bado nawe unatia aibu.Yani mtu ashindwe kutimiza wajibu wake kisiasa kisa lisu ambaye naye alipata mattz kwa kutimiza wajibu wake kisiasa? Lisu hawezi kuwa hoja ya mcng kwa mwanasiasa kutimiza kile anachokiamini.Msimtumie lisu kufunga fikra za watuSababu wanazotoa wengine mpaka wanatia aibu leo Mbunge wa Jimbo la Singida mashariki Tundu Lissu yupo hospital kwa muda wa mwaka baada ya jaribio la kutaka kumuua kufeli leo Mbunge anaenda kujiunga na hao maharamia
Huyo anataka kugombea uenyekitiKwani huyo kahama kwasababu ccm wanafanya mikutano ya kisiasa?
Mkuu nakubaliana nawe kwa asilimia 100%.Kuhama hakuna Tija kwa Taifa.... Ni manufaa yao wenyewe tu
Usisahau kuwa hao wa4 walikuwa kipindi ambacho chama ni madhubuti na imara kuliko sasa. Wameingia mamluki wengi tena wanajifanya wao ndio wanauchungu na chama kuliko waazilishi.Wabunge wanne wa chadema kipindi hicho walikua wamaana sana kuliko hawa 40+ wa saiz wamekua ni mzigo kwa taifa.
Gharama za kurudia uchanguzi ni bilion 2+ halafu ni kwa hela ya mkopo.. Yaani wahisaniAisee..so uchaguzi utarudiwa tena kwa hela za walipa kodi??