Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

Mungu wa haki atasimama dhidi ya hila hii itumikayo kwa watanzania
 
Serikali ikiwa na akili za matope ndio unaona haya,unamhonga mtu ili ajiuzulu ahamie ccm halafu bdae unarudia uchaguzi kwa gharama zingine hiyo sio akili,tunaongozwa na awamu ya wajinga wa kiwango ajabu.
Hata ile PHD yke alinunua mana ndio tabia yke halafu anasimama jukwaani na kusema anachukia rushwa kumbe yeye ndio mpenda rushwa kuliko wote
Utanyooka tu wewe nyumbuzz awamu hii ya tano siyo mchezo!!
 
nadhani kwasasa tumeshazoea hii wala sio habari tena.2020 tutachagua wanachadema wenzetu
Hakuna wanachama wakugombea huko lazima msubiri watakaotemwa CCM ndiyo muwachukue kugombea Chadema. Chadema ni SACCOS ya Mbowe na Mtei
 
Nilisha sema siku nyingi sana nyuma 2020 hakutakuwa na upinzani imara
 
alikuwa ccm akahamia cdm, sasa anatoka cdm anarudi ccm. Huyu alikuwa pupet huyu.... sio bure!!!. Kukosa misimamo thabiti hapa nchini ni janga la taifa, tuanenda kuua kizazi kijacho. Ngazi ya familia kutakuwa na shida sana, km baba anakosa msimamo ktk maisha yake. Sasa ikitokea 2020 chadema wakashinda kuiongoza serikali na maendeleo yakapamba moto..ina maana atahama tena kurudi cdm???

Pumbavu wahamiaji wote, wote waliohama hama sitowaheshimu manyumbu!!!. Komaeni km jokate, wema analilia moyoni akimtizama jokate.

Na yeyote anayeteua hawa watu ili waongoze wananchi naye hana akili, huwezi teua watu wasiokuwa na misimamo ktk mambo yao. Pumbavu!!
 
Ukiangalia wabunge wote waliohama Chadema na kwenda CCM walikuwa wamelelewa na kukulia CCM, angalia Dr Mollel, Mwita wa Ukonga, hata huyu Mheshimiwa historia inaonesha alikuwa diwani wa CCM na kuhamia Chadema mwaka 2015, so ni kama wanarudi nyumbani walikolelewa na kukulia.Muhimu kumtakia mafanikio mema huko anakokwenda.
Hiyo ndiyo siasa.


Observation yako ni nzuri sana, na inarudia yale yale tuliyosema hapa mwaka 2015 kuwa CHADEMA isikubali hawa wanaohama CCM na kuwafanya wabeba bendera ya CHADEMA. Mbowe alikaidi, na sasa hiyo ndiyo mojawapo ya matokeo yake. Nitatafuta thread hiyo hapa ambayo ilizungumzia jambo hilo niiunganishe. Mbowe hastahili hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi ingawa ni mbunge na Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani. Akili yake inaongozwa na tamaa sana kuliko busara ingawa hotuba zake majukwaani huwa ni nzuri sana.
 
Last edited:
Wanya wenya torinto tariraaaaaa!!!!!

Mi nawacheki tu watu flani wanavyoliwa kiboga, najiuliza wanapenda au wanalazimishwa? Kama wanapenda kwanini wanalalamika kwamba etiii ooh huyu MANIFONGO sijui eti nini mashine na kama wanalazimishwa mbona wakati watendo wanatoa miguno ya mahaba?

Nawaza kwa sauti jamani
 
Mambo ni moto hizi siasa za bongo
IMG-20180731-WA0000.jpg
 
Hizi gharama za kurudia uchaguzi naona fungu lake lipo la kutosha maana sijawahi kusikia kumekosekana pesa ya kurudia uchaguzi.
 
Back
Top Bottom