Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utanyooka tu wewe nyumbuzz awamu hii ya tano siyo mchezo!!Serikali ikiwa na akili za matope ndio unaona haya,unamhonga mtu ili ajiuzulu ahamie ccm halafu bdae unarudia uchaguzi kwa gharama zingine hiyo sio akili,tunaongozwa na awamu ya wajinga wa kiwango ajabu.
Hata ile PHD yke alinunua mana ndio tabia yke halafu anasimama jukwaani na kusema anachukia rushwa kumbe yeye ndio mpenda rushwa kuliko wote
Sawa dada endelea kutoa mzutii unaweza kua dcUtanyooka tu wewe nyumbuzz awamu hii ya tano siyo mchezo!!
Hakuna wanachama wakugombea huko lazima msubiri watakaotemwa CCM ndiyo muwachukue kugombea Chadema. Chadema ni SACCOS ya Mbowe na Mteinadhani kwasasa tumeshazoea hii wala sio habari tena.2020 tutachagua wanachadema wenzetu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ili jibu ulompa limenifurahisha sanaaSawa dada endelea kutoa mzutii unaweza kua dc
Ndio dawa ya hawa mapopoma[emoji2] [emoji2] [emoji2] ili jibu ulompa limenifurahisha sanaa
Ukiangalia wabunge wote waliohama Chadema na kwenda CCM walikuwa wamelelewa na kukulia CCM, angalia Dr Mollel, Mwita wa Ukonga, hata huyu Mheshimiwa historia inaonesha alikuwa diwani wa CCM na kuhamia Chadema mwaka 2015, so ni kama wanarudi nyumbani walikolelewa na kukulia.Muhimu kumtakia mafanikio mema huko anakokwenda.
Hiyo ndiyo siasa.
Kwa sheria ipi?Poa tu ila ningetamani usiwepo uchaguzi marudio badala yake huyo huyo alipe gharama za kuuchafua uchaguzi uliopita kwani alitunyima kumchagua tuliyempenda wa ccm
Haya mazingaombwe ya Bongo unayaaita Demokrasia ............. Seriously!!Wewe ni mtu gani una lilia demokrasia halafu una shangaa gharama kwenye demokrasia?