Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ttz mmekariri mikutano ni hadi mwende jangwani.Kwanini hamtak kufanya mikutano kwenye majimbo yenu hadi mkafanye kwenye majimbo ya wenzenu?Yani mbunge akifanya mkutano kwenye jimbo lake anaona hapati kiki hadi aende kwa mwenzie.Wanafanya kila siku kupitia mwenyekiti wao na viongozi wengine, lakini pamoja na hayo hata tukifanya sample ya haraka humu JF, wapinzani ni wengi sana kuliko wafia chama.
KANUNI MPYA IWE ANAYEJIVUA UBUNGE AFUNGIWE KUGOMBEA WADHIFA WOWOTE WA KISIASA WALA KUPATA UTEUZI WOWOTE KWA MIAKA MITANO!Naomba tudhibit hii hama hama ya wabunge
Ni kitu gani hicho Mkuu na ni kwa nini wawe na Uoga namna hiyo ?..Au hawakuwa wasafi wanaogopa kuharibiwa Biashara zao ?
Iko kwenye ukurasa wa vyama vya siasa. Kaisome vizuri kama unayo. Unaweza hata ukai download from their website.Kwenye ripoti ya CAG hiyo taarifa ipo kwenye ukurasa gani.
Anaowatesa ni wana Ufipa!Mbowe anawatesa sana MAGAMBA..,kuhangaika kote huko mnataka amrithishe mtu mithili ya Mrema,Cheyo....ili Mumnunue?, Fanyeni siasa acheni UJIWE wa kimungu chenu cha chato.
Hii ndiyo lugha pekee mnayoijua. Wananchi wameshawajua na ndiyo maana wamewapotezea mbali, kila uchaguzi mdogo mnaambulia nunge!Leo nakuita tena Dr Kichaa maana unaandika bila kufikiri kilichopo.
Katiba ipi inasema mkutano ufanye kwenu tu, ipi?? Kwa kiwango hiki cha akili alichonibariki Mungu siwezi kucope kuwa mwanaCheCheMea, honestly NOT!Ttz mmekariri mikutano ni hadi mwende jangwani.Kwanini hamtak kufanya mikutano kwenye majimbo yenu hadi mkafanye kwenye majimbo ya wenzenu?Yani mbunge akifanya mkutano kwenye jimbo lake anaona hapati kiki hadi aende kwa mwenzie.
Hapa huruhusiwi kuweka huo ukurasa, kwanini.Iko kwenye ukurasa wa vyama vya siasa. Kaisome vizuri kama unayo. Unaweza hata ukai download from their website.
Wewe hujui msemo wa 'Siasa ni mchezo mchafu' au ule wa kiingereza unaosema 'Politics is a dirty game'?Hiyo ndio siasa safi mnayojisifia nayo ccm.?
Nimekuelewa sana! Kinachoumiza zaidi "UTOTO WA KUCHEZEA KODI ZA WANANCHI " bila hata HURUMA!!!!!Siasa bana..
Mbunge / anahama chama kwa madai kwamba wabunge wa upinzani wanalazimishwa kupinga bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti alafu unahamia chama ambacho wabunge wanalazimishwa kupitisha bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti vilevile
Kumbe nyie mko huko kutafuta vyeo pale mtakapofanikiwa kuchukua dola? Vyeo vinapatikana kwa kuwa na sifa zinazositahili bila kuangalia dini, itikadi wala kabila la mtu au utiifu wake kwenye chama fulani cha siasa. Kinachoangaliwa ni uwezo wake wa kufanya kazi hiyo.Unajisikiaje kuona mpinzani anahamia ccm na kupewa uongozi huku wewe kada mtiifu ukiachwa? Huoni kama kuna tatizo mahali?