Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

lowasa amemuaga? Au mzee anatanguliza vijana wake, Kuna mtu alisema cdm ntakuja lia kwa lowasa. Mtoeni sasa atakuja waacha kipindi Kama mlichompokea.
 
Wanafanya kila siku kupitia mwenyekiti wao na viongozi wengine, lakini pamoja na hayo hata tukifanya sample ya haraka humu JF, wapinzani ni wengi sana kuliko wafia chama.
Ttz mmekariri mikutano ni hadi mwende jangwani.Kwanini hamtak kufanya mikutano kwenye majimbo yenu hadi mkafanye kwenye majimbo ya wenzenu?Yani mbunge akifanya mkutano kwenye jimbo lake anaona hapati kiki hadi aende kwa mwenzie.
 
Ni kitu gani hicho Mkuu na ni kwa nini wawe na Uoga namna hiyo ?..Au hawakuwa wasafi wanaogopa kuharibiwa Biashara zao ?
Kwanini wanaohama ni wanaume pekee? Wabunge wanawake hawaoni hizo juhudi?
 
Kila la kheri uendako. Taifa linapoteza fedha Nyingi sana kugharamia uchaguzi usio na tija kwa watanzania. Tunatamani fedha zielekezwe kwenye huduma za jamii kuliko kuendelea upumbafu huu. Hakuna democrasia isyo na mipaka. Tumemsikia Jiwe akisema angewafukuza wabunge wa mikoa ya kusini.Democrasia inahitaji uvumilivu na ukomavu wa akili na si vinginevyo
 
Siku zote nasema na ntaendelea kusema "hakuna watu wanafiki kama wana siasa"

Ova
 
Awamu hii ya Kaya inachezea sana hela za maskini.Kwa bahati mbaya,wenye kaya wenyewe ni kama vile MAITI.Mwenyezi Mungu weka pumzi ya UHAI kwa wanakaya.
 
Kwenye ripoti ya CAG hiyo taarifa ipo kwenye ukurasa gani.
Iko kwenye ukurasa wa vyama vya siasa. Kaisome vizuri kama unayo. Unaweza hata ukai download from their website.
 
Inapendeza sana uchaguzi ujao wampige chini na mtoto wa Sokoine agombee kwenye uchaguzi ujao badala yake.
 
Mbowe anawatesa sana MAGAMBA..,kuhangaika kote huko mnataka amrithishe mtu mithili ya Mrema,Cheyo....ili Mumnunue?, Fanyeni siasa acheni UJIWE wa kimungu chenu cha chato.
Anaowatesa ni wana Ufipa!
 
Leo nakuita tena Dr Kichaa maana unaandika bila kufikiri kilichopo.
Hii ndiyo lugha pekee mnayoijua. Wananchi wameshawajua na ndiyo maana wamewapotezea mbali, kila uchaguzi mdogo mnaambulia nunge!
 
Ttz mmekariri mikutano ni hadi mwende jangwani.Kwanini hamtak kufanya mikutano kwenye majimbo yenu hadi mkafanye kwenye majimbo ya wenzenu?Yani mbunge akifanya mkutano kwenye jimbo lake anaona hapati kiki hadi aende kwa mwenzie.
Katiba ipi inasema mkutano ufanye kwenu tu, ipi?? Kwa kiwango hiki cha akili alichonibariki Mungu siwezi kucope kuwa mwanaCheCheMea, honestly NOT!
 
Siasa bana..
Mbunge / anahama chama kwa madai kwamba wabunge wa upinzani wanalazimishwa kupinga bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti alafu unahamia chama ambacho wabunge wanalazimishwa kupitisha bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti vilevile
Nimekuelewa sana! Kinachoumiza zaidi "UTOTO WA KUCHEZEA KODI ZA WANANCHI " bila hata HURUMA!!!!!
 
Unajisikiaje kuona mpinzani anahamia ccm na kupewa uongozi huku wewe kada mtiifu ukiachwa? Huoni kama kuna tatizo mahali?
Kumbe nyie mko huko kutafuta vyeo pale mtakapofanikiwa kuchukua dola? Vyeo vinapatikana kwa kuwa na sifa zinazositahili bila kuangalia dini, itikadi wala kabila la mtu au utiifu wake kwenye chama fulani cha siasa. Kinachoangaliwa ni uwezo wake wa kufanya kazi hiyo.
 
Back
Top Bottom