Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

Kuna mtu alisema Waraka wa maaskofu umefuta habari za watu kumuunga mkono Rais.Vipi bado anaendelea na ule msamamo wake wa kuamini waraka ule ulikua na la maana ktk utawala huu?
 
Wakolomije watambue CDM ilikuwa na Wabunge Wanne tu kina Zitto na Slaa etc enzi hizo na ikavuma,kwa sasa wapo wengi,wameondoka hao wa3 bado wapo Majembe ya kutosha yasiyoyumba,ni kipindi cha mpito tu hiki,wachumia tumbo wanajichuja wenyewe vipande 250m vya fedha unauza utu.
Wabunge wanne wa chadema kipindi hicho walikua wamaana sana kuliko hawa 40+ wa saiz wamekua ni mzigo kwa taifa.
 
Bunge live hawaonyeshi ila upuuzi kama huu ndo wanahimiza na watu waangalie...shubaaamit
 
Mkuu kama una namba yake, mshauri amsihi Lowassa warudi wote ccm. Wameifubaza cdm.
Na possibly kuna mkono wa lowasa hapo.Sio rahisi kiivyo mbunge toka monduli ahamie ccm,SIO RAHISI.
 
Kuna haja ya wanazuoni wa kimataifa si hawa wa bongo kuja kuitafiti aina mpya ya siasa tunayoiendesha hapa tz ni kwa faida ya vizazi vijavyo..lakini tanzania ni ya pili kwa vivutio vya utalii duniani si mbaya kuongeza utalii wa siasa pia
Hizi siasa hazijaanza mwaka huu,ukifuatilia zimeanza pindi lowasa anataka kuhamia chadema.Madiwani wote monduli walijiuzuru.Upinzani ulifurahi sana,saiz kwa mfumo uleule lowasa anatanguliza watu wake mbele kurudi ccm.Wakirud wote utasikia naye anasema anastaafu siasa au anarudi nyumbani.
 
Binafsi namuelewa Mb Leizer.

Kukaa chama kimoja ni mtu kama Mbowe na wahuni wenzake kama Lema na Msigwa sio kazi rahisi.

Hivyo wanaohama tunawakaribisha sana CCM na kwa taarifa zilizopo ni kwamba mpaka kufika 2020, wabunge wasiopungua 15 wa CHADEMA wa majimbo watakuwa wamehamia CCM na wote watarudi bungeni kwa tiketi ya CCM.

Kwa kusema hayo na kuangalia mambo mazuri yanayoendelea kufanywa na serikali ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa 2020 hakutakuwa na chama chochote cha upinzani bungeni.
Wakiwa hakuna iwe kazi rahisi kwenu kamungu kenu kaendelee ili kutimiza jaribu kubwa la tamaa ya moyo wake.
 
Sababu wanazotoa wengine mpaka wanatia aibu leo Mbunge wa Jimbo la Singida mashariki Tundu Lissu yupo hospital kwa muda wa mwaka baada ya jaribio la kutaka kumuua kufeli leo Mbunge anaenda kujiunga na hao maharamia
Hata hii la lisu bado nawe unatia aibu.Yani mtu ashindwe kutimiza wajibu wake kisiasa kisa lisu ambaye naye alipata mattz kwa kutimiza wajibu wake kisiasa? Lisu hawezi kuwa hoja ya mcng kwa mwanasiasa kutimiza kile anachokiamini.Msimtumie lisu kufunga fikra za watu
 
Daaaah yani Tanzania naona kabisa upinzani unakufa, wabunge wengi wanaondoka, yajayo yanafurahisha.
 
Siasa walizofanya Chadema mwaka 2013-15 za kuchukua pumba za ccm zitawatafuna mpaka basi.



Tuliwaambia bomu litalipuka sasa naona utabiri wetu unaanza kukamilika. Hapo bado yajayo ni hatari zaidi.


Next ni Msigwa, Jamaa mmoja kule mbeya na Ester Bulaya au Matiko....


Tunzeni hii comment yangu
 
kuna watu watakuambia amenunuliwa,mimi nitaliamini hili siku ufipa wakiniambia ni nani aliyemnunua Lowasa,Sumaye na Nyalandu vinginevyo mtapata tabu sana
 
UJinga anaendelea kuwa adui mkubwa wa taifa letu; na mfadhili wa ujinga inabidi tummulike. Vinginevyo tutaendea kuwakumbatia maadui hao watatu na tutawapa mwanya maadui wengine kujipenyeza.
 
Wabunge wanne wa chadema kipindi hicho walikua wamaana sana kuliko hawa 40+ wa saiz wamekua ni mzigo kwa taifa.
Usisahau kuwa hao wa4 walikuwa kipindi ambacho chama ni madhubuti na imara kuliko sasa. Wameingia mamluki wengi tena wanajifanya wao ndio wanauchungu na chama kuliko waazilishi.
 
Back
Top Bottom