chikanu chikali
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 1,146
- 1,832
HahahahaIna maana hujui aliko na alifikaje huko? Si ndio hayahaya?
Hapo ndio kazi ilipo, Chadema wanajifanya kulilia demokrasia ila watu wao wakihama wanaanza kulalamika na kutoa lugha za kejeri sijui maana ya demokrasia wanaijuia?Wewe ni mtu gani una lilia demokrasia halafu una shangaa gharama kwenye demokrasia?
This game is costly and show how shallow minded people in politics are. Our stupidity, Poverty and ignorance in matters of social development are put bareSiasa bana..
Mbunge / anahama chama kwa madai kwamba wabunge wa upinzani wanalazimishwa kupinga bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti alafu unahamia chama ambacho wabunge wanalazimishwa kupitisha bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti vilevile
Sawa mkuuWewe ni mtu gani una lilia demokrasia halafu una shangaa gharama kwenye demokrasia?
Sababu yenye mashiko kwako ni ipi? Au unataka waseme unachokifikiria wewe?Tatizo sababu wanazozitoa kwa kuhama kwao huwa hazina mashiko yoyote yale na badala yake zinawavua nguo na kuonesha ni kwa vipi hawawezi kutumia baraka waliyopewa na Mwenyezi Mungu za kuwa binadamu badala ya Ng'ombe!!
Makamanda mmechanganyikiwa...yule waziri Wa utalii alipokuja kwwenu hakuwa msaliti?Huyu jamaa nilimwona ana msimamo sana. Anyway hata Yuda Iskariote alikuwa mtu mwenye msimamo sana!
Wana ccm njaa na awamu hii ndio njaa zitawaua toka buku 7 mpka bukuBinafsi namuelewa Mb Leizer.
Kukaa chama kimoja ni mtu kama Mbowe na wahuni wenzake kama Lema na Msigwa sio kazi rahisi.
Hivyo wanaohama tunawakaribisha sana CCM na kwa taarifa zilizopo ni kwamba mpaka kufika 2020, wabunge wasiopungua 15 wa CHADEMA wa majimbo watakuwa wamehamia CCM na wote watarudi bungeni kwa tiketi ya CCM.
Kwa kusema hayo na kuangalia mambo mazuri yanayoendelea kufanywa na serikali ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa 2020 hakutakuwa na chama chochote cha upinzani bungeni.