Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

Tatizo sababu wanazozitoa kwa kuhama kwao huwa hazina mashiko yoyote yale na badala yake zinawavua nguo na kuonesha ni kwa vipi hawawezi kutumia baraka waliyopewa na Mwenyezi Mungu za kuwa binadamu badala ya Ng'ombe!!
Sababu wanazotoa wengine mpaka wanatia aibu leo Mbunge wa Jimbo la Singida mashariki Tundu Lissu yupo hospital kwa muda wa mwaka baada ya jaribio la kutaka kumuua kufeli leo Mbunge anaenda kujiunga na hao maharamia
 
Wakolomije watambue CDM ilikuwa na Wabunge Wanne tu kina Zitto na Slaa etc enzi hizo na ikavuma,kwa sasa wapo wengi,wameondoka hao wa3 bado wapo Majembe ya kutosha yasiyoyumba,ni kipindi cha mpito tu hiki,wachumia tumbo wanajichuja wenyewe vipande 250m vya fedha unauza utu.
2020 chadema kitarudia status quo yao ya kuwa na wabunge wanne tu. Wameitumia vibaya fursa waliyokuwa wameipata. Yaani ruzuku kazi yake ni kulipia tu deni hewa la m/kiti wao. Yaani wabunge wao lazima 50% ya mishahara yao ipelekwe kwenye chama kulipia hilo deni hewa la m/kiti lisiloisha!! It is now over! Wamasai na wakurya wamekataa. Wambeya (wahehe) wamekataa. Kila mtu amekataa.
 
Last edited:
Hakuna wa kupinga. Ombi kuu ni kutuongezea mishahara watumishi wa Serikali tu. Tuwaombe wah watusaidie. Taf sana.
 
2020 chadema kitarudia status quo yao ya kuwa na wabunge wanne tu. Wameitumia vibaya fursa waliyokuwa wameipata. Yaani ruzuku kazi yake ni kulipia tu deni hewa la m/kiti wao. Yaani wabunge wao lazima 50% ya mishahara yao ipelekwe kwenye chama kulipia hilo deni hewa la m/kiti lisiloisha!! It is now over! Wamasai na wakurya wamekataa. Wambeya (wahehe wamekataa). Kila mtu amekataa.
Hizo ni Propaganda mkuu,hakuna mbunge anayekatwa 50% ya mshahara kulipia deni,ila nachojua kuna siku lazima michango itahitajika kwa ajili ya kufanya jambo la maendeleo kwa chama au emergency ikitokea mf Tundu alivyopigwa risasi,Wabunge walitoa michango.
 
Hizo ni Propaganda mkuu,hakuna mbunge anayekatwa 50% ya mshahara kulipia deni,ila nachojua kuna siku lazima michango itahitajika kwa ajili ya kufanya jambo la maendeleo kwa chama au emergency ikitokea mf Tundu alivyopigwa risasi,Wabunge walitoa michango.
Kamuulize Waitara atakuambia ukweli.
 
Tanzania,Tanzania Nakupenda kwa moyo wote. Nchi yangu Tanzania jina lako ni tamu sana
 
Back
Top Bottom