Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Ni upuuzi ccm kuiba hela za serikali na kununua upinzani. Hii mbinu itafeli hamtaweza kununua wananchi Tanzania nzima.Makamanda wanatetemeka saa'izi. Usingizi umekuwa mchungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni upuuzi ccm kuiba hela za serikali na kununua upinzani. Hii mbinu itafeli hamtaweza kununua wananchi Tanzania nzima.Makamanda wanatetemeka saa'izi. Usingizi umekuwa mchungu.
Maajabu haya utayakuta Tz tu!!Siasa bana..
Mbunge / anahama chama kwa madai kwamba wabunge wa upinzani wanalazimishwa kupinga bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti alafu unahamia chama ambacho wabunge wanalazimishwa kupitisha bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti vilevile
Huko nape kila siku anaisema serekali na bado haitwi msaliti kikubwa chadema wanatakiwa watafute chanzo cha tatizo
Wala c kweli ni kununuliwa na kurudishwa bungeni kwa nguvu lkn iko siku watajua nn maana yake ni sawa na mtu akiua nafsi yake humsuta mpaka mauti na wala hao c wapinzani bali wapinzani ni wale wapga Kula ila kwakuwa wameahdiwa iwe isiwe watarudishwa bungeni iwe kwa vyovyote vile lkn iko siku watajua nn maana yake.Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Mkoa wa Arusha zinasema Mbunge wa Jimbo la Monduli Juliasi Kalanga kuhamia CCM kesho majira ya saa nne asubuhi.
======
UPDATES; 00:15HRS
View attachment 823188
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Monduli kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , Mhe. Julius Kalanga amejiuzulu na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM muda huu kwa kile alichoeleza kuwa ni kuunga mkono juhudi rais Magufuli. Amepokelewa na katibu mwenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole.
Siasa za uhasama, malumbano na chuki zimeniondoa CHADEMA. Nimeamua kuiunga mkono serikali ya awamu ya tano kwa maslahi ya taifa... Kwa sababu huwezi kufanya hivyo ukiwa upande wa pili, lazima utaonekana msaliti tu... Wana Monduli naombeni mnielewe, nitakuja kuzungunza nanyi," Julius Kalanga Laizer, aliyekuwa Mbunge wa Monduli kwa tiketi ya CHADEMA.
Julius Kalanga aliwahi kuwa diwani kupitia CCM, kabla ya kuhamia Chadema 2015
Hakuna sababu ya kushindana na wajinga hawaondoki chadema bahati mbaya.huu ni mchezo mchafu wa ccm.Chadema ifanye kama mbeya, taarifa zikivuja tu jamaa anataka kuhama unafukuza mapema ili asipate umaarufu wa kisiasa. Huku kumwacha mtu hadi anaita waandishi wa habari ni kumpa mtu kiki. Labda kama wanafanya kusudi
Sure my Brother.Sijui nani katuloga kwa kweli. Huu ni aina mpya ya ufisadi au upotezaji pesa za wananchi.
Wamasai unawajua? Wanafiki kama wabenaKweli hii ni Karne ya 21 miongoni mwa makabila yenye watu walio na misimamo isiyo yumba ni wamasai na wakulyaa lakini kinacho tokea kina waondolea heshima yao ya miaka mingi
Ndio sababu najiuliza mkuu,inawezekana kuna kitu wamefanyiwa,kuna nguvu nyuma ya kuhama kwao.
Ulishawahi kuona mtu anaambiwa fanya jambo fulani,kama hutaki nakuharibia.
Sio akili ya kawaida hii.
Mmaasai ana msimamo mwarusha usimwamini hata kidogo ni mnafiki balaa nimekaa nao sana.Wamasai unawajua? Wanafiki kama wabena
.....wakirudi huku wanaitwa ng'ombe waliokatwa mkia ! Isikuumize kichwa saana.Tatizo sababu wanazozitoa kwa kuhama kwao huwa hazina mashiko yoyote yale na badala yake zinawavua nguo na kuonesha ni kwa vipi hawawezi kutumia baraka waliyopewa na Mwenyezi Mungu za kuwa binadamu badala ya Ng'ombe!!
[emoji3][emoji3][emoji95][emoji95][emoji95] msee tusi-biti hii hama hamaNaomba tudhibit hii hama hama ya wabunge
Nakusubiria na were uhamie kwangu!Mwache aende.....