Mbunge wa Jimbo lilipo daraja la Wami, msaidie huyu mama

Pole zake huyo mama...ila na dreva alompa mbona anaonekana mhuni huni? Kweli gari ya thamani namna hiyo unamkabidhi mnyoa kiduku? Wazee hawapo?..dah mie sielewi kbs! Rip dere!
 
Kama point ni kujiongeza then kila mwananchi anapaswa kujiongeza regardless wewe ni mbunge or not.

Tuanze na wewe , umetoa msaada gani kwa huyo mama ?
 
Ndio maana watu tunashauriwa kukata bima stahili badala ya ile 3rd part ambayo kazi take kuu ni kumuonyesha traffic una bima.
Comprehensive insurance ingefidia gari na mzigo wake na hangekuwa na pressure ya kulala halo Wami darajani.
 
Aghali mkuu!..sema majority hatuna uelewa kbs kuhusu bima! Hatuna elimu hiyo kbs!
 
Pole zake huyo mama...ila na dreva alompa mbona anaonekana mhuni huni? Kweli gari ya thamani namna hiyo unamkabidhi mnyoa kiduku? Wazee hawapo?..dah mie sielewi kbs! Rip dere!
Mie binafsi sijamuona dereva nimeona maiti yake iliyo tolewa tu.

Either way hilo sio lorry la kwanza kutumbukia wami na alitokuwa la mwisho mengine yalikuwa yakiendeshwa na watu wenye uzoefu wa muda na njia.

Inasikitisha na mama anatia huruma lakini ‘siku ya kufa nyani miti yote uteleza’ inawezekana kabisa ni uzembe wa dereva wake au lorry kufeli brake kama inavyodaiwa au sababu nyingine yoyote; mwisho wa siku muhimu ni kukubali ajali imetokea.
 
Ni kweli mkuu ni aghali, lakini ikitokea ajali ni aghali zaidi na zaidi na isiyo bebeka. Uzuri kampuni nyingi za bima comprehensive wanakubali kuilipia kwa instalments

Unaona sasa! Hata mie sikua najua wanakubali kulipa kwa installment!..hilisomo watu itabidi wawe nalo!
 
Yule hata Boda mie nisingekubali anibebe...nna image yangu tu kuwahusu wanyoa viduku
 
Mbunge wa Chalinze ni Ridhiwani Kikwete
 
Bima. Insurance
 
Aghali mkuu!..sema majority hatuna uelewa kbs kuhusu bima! Hatuna elimu hiyo kbs!
Mara nyingi comprehensive wanaangalia hali ya gari, sio kila gari unaweza kukata bima hiyo
Ndio maana watu tunashauriwa kukata bima stahili badala ya ile 3rd part ambayo kazi take kuu ni kumuonyesha traffic una bima.
Comprehensive insurance ingefidia gari na mzigo wake na hangekuwa na pressure ya kulala halo Wami darajani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Something bima can do.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…