Mbunge wa Karagwe aomba Rais Magufuli alipopigia push up ujengwe uwanja wa kumbukumbu!

Wabunge wa Cha tawala sijui wanatumia nini kufikiria na kuchanganua mambo maana katika masuala ya kishenzi shenzi wanaunga mkono sana lakini katika ishu nyeti unakuta wamezubaa tu hata kuunga mkono hawataki....so sad!! Maana nashindwa kuelewa kama ni uoga au nini?

Hili suala la kuweka sijui ukumbusho wa push ups utasaidia nini wananchi? Sijui wanaipeleka wapi nchi yangu Tanzania.
 
Mbunge gani? nape au Huyo mtoa hoja?
 
Hiyo sheria itapigiwa kura za HAPANAAAAAAAAAAAAAAAA si unajua walivyo jazana mjengoni?
 
Yaani nilimwona kwenye kipindi cha maswali na majibu nusra nizimie kwa swali la kipuuzi kama lile.Hivi nikajiuliza kipaumbele cha watu wa karagwe ni kujengewa kumbukumbu ya push up tu?
 
Hoja za kuwekwa kumbukumbu pale Rais wenu mpendwa alipopiga show ni hoja ya chama chako cha mwendokasi,Mh.Lowassa ameingiaje hapa? Au ndiyo unadhihirisha namna ulivyo na IQ ndogo kuliko viumbe wote waliopo chini ya jua?
 
Yaani nilimwona kwenye kipindi cha maswali na majibu nusra nizimie kwa swali la kipuuzi kama lile.Hivi nikajiuliza kipaumbele cha watu wa karagwe ni kujengewa kumbukumbu ya push up tu?
hivi miteru wenzie hawakumpigia makofi kweli?
 
Sasa hao ndo vilaza siyo wale wanafunzi wa UDOM. Mbunge pamoja na waziri wake wote ni bila bila hakuna aliyeona lango
 
Kazi ipo. ..kwahiyo hiyo ndio changamoto kuu ya wana karagwe?
 
kwani zile push up zimewasidia nini watanzania.
Au huyo mbunge atakuwa na akili za ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…