Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Blaza r yu blindly that serious,juzi kamtoa mlevi uwaziri,nape ni waziri au yupo wcb kwa chibu wazee waloteuliwa ndo walewale 50+ yrs yakurudi reverse na ccm do u expect to do the ccm thing and getting different results from same ccm with the worst president in chargeSasa nimeanza kupata majibu ya kwanini magufuli mwaka jana alikuwa na wakati mgumu na ilimchukua muda mrefu sana kwenye kutafuta na kuteua mawaziri wake...
Kumbe wabunge wengi aliokuwa akiwatizama ni ma-zero brains na ndo maana ikambidi kuteua wabunge wake wengine wapya na kuwapa uwaziri..
Katika hali isiyo ya kawaida mbunge wa Karagwe (CCM) Mh Inocent Bashungwa ameomba uwanja wa Kayanga mjini Karagwe ujengwe kama kumbukumbu ya kitendo cha mgombea Urais kupiga push up jukwaani
Akijibu ombi hilo waziri anayehusika na Habari, michezo, utamaduni na sanaa Nape amesema mchakato wa kuenzi kumbukumbu hiyo unaweza kuanza maana kitendo kile kilionyesha ni jinsi gani mgombea wao angetengeneza serikali ya kazi tu na kwamba mgombe mwingine ingekuwa kazi kwake kufanya hivyo.
Huyu nape anashindwa kutofautisha msemaji wa Chama na waziriWote walewale,alieuliza swali na aliyejibu,wananchi wa jimbo la Mtama na Karagwe wapime akili
NNi balaa mkuu........sijui mtu kama huyo familia yake inajisikiaje wanapomsikia mzazi anaongea kama hivyo?
Hebu twambie weweTatizo la ufipa mnakulupuka hamjui chanzo cha nn kusema vile, shame kabisa