babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
kipaombele hicho cha mbunge wa karagwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Familia inaona mzee kaongea HEWANNi balaa mkuu........sijui mtu kama huyo familia yake inajisikiaje wanapomsikia mzazi anaongea utumbo kama huo?
Nadhani. Kwa mtazamo wakeKazi ipo. ..kwahiyo hiyo ndio changamoto kuu ya wanalaragwe?
Karagwe wanaongozwa na Mbunge HEWA nahisi atakuwa wale wa UDOM waliofukuzwa na prezdar [emoji85] [emoji85]Katika hali isiyo ya kawaida mbunge wa Karagwe (CCM) Mh Inocent Bashungwa ameomba uwanja wa Kayanga mjini Karagwe ujengwe kama kumbukumbu ya kitendo cha mgombea Urais kupiga push up jukwaani
Akijibu ombi hilo waziri anayehusika na Habari, michezo, utamaduni na sanaa Nape amesema mchakato wa kuenzi kumbukumbu hiyo unaweza kuanza maana kitendo kile kilionyesha ni jinsi gani mgombea wao angetengeneza serikali ya kazi tu na kwamba mgombe mwingine ingekuwa kazi kwake kufanya hivyo.
Na wapiga kula wa waziri aliyemsapoti?Wapiga kura wa Karagwe wamepata hasara kubwa kuwa na mbunge tutusa kama huyo
Mimi muuliza swali wala hajanishangaza, aliyenishangaza ni waziri aliyejibu, kwa uelewa wangu mdogo sifa ya ubunge ni kujua kusoma na kuandika, kwa hiyo mbunge akiongea pumba sishtuki sana, ila najua sifa ya uwaziri ni zaidi ya kujua kusoma na kuandika, sasa waziri akijibu pumba ndo hapo nashangaa sana.Najua Nape Nnauye, Mwigulu Nchemba, @Kigwangwala na Tibaijuka ni member hapa JF, kwa nini hawawaambi wabunge wao wanaonekanaje na jamii au hata kuwaonyesha wanavyojadiliwa?
Au na wao ndio walewale?
Mkuu wapunguzie lawama maana tumeshaambiwa kua mbunge wa ccm hasemi jambo bila kuruhusiwa na kitengo cha lumumbaHili halimaniishi ccm hiyo akili ni ya mbunge mwenyewe mengine ccm tunaisingizia tu.
Kesho huyu mbunge atasema linapopakiwa gari la rais huko chato pajengwe jumba la kumbukumbu
Katika hali isiyo ya kawaida mbunge wa Karagwe (CCM) Mh Inocent Bashungwa ameomba uwanja wa Kayanga mjini Karagwe ujengwe kama kumbukumbu ya kitendo cha mgombea Urais kupiga push up jukwaani
Akijibu ombi hilo waziri anayehusika na Habari, michezo, utamaduni na sanaa Nape amesema mchakato wa kuenzi kumbukumbu hiyo unaweza kuanza maana kitendo kile kilionyesha ni jinsi gani mgombea wao angetengeneza serikali ya kazi tu na kwamba mgombe mwingine ingekuwa kazi kwake kufanya hivyo.
haaaaaaaa haaaaaa haaaaaa! Wajameni. Kura ya kutokuwa na Imani naeHivi hakuna sheria ya kumvua ubunge?