Mbunge wa Karagwe aomba Rais Magufuli alipopigia push up ujengwe uwanja wa kumbukumbu!

Bila aibu anatema pumba na mwingine bila aibu ana support pumba,kweli wazungu wanapotuambia IQ zetu ni ndogo hawakosei
 
Daaah halafu huyu analipwa kwa kodi zetu eti! Kua mtanzania ni mzigo mzito sana aisee
 
Tatizo la ufipa mnakulupuka hamjui chanzo cha nn kusema vile, shame kabisa
 
jamani afadhali TV hainoeshi maana hakuna tofauti na the commedy!! mweee!!!
 
Hapo yupo Bungeni ,tena Bunge la Bajeti ndo aongea matapishi hayo, akiwa kwenye mazungumzo yake ya kawaida si atakuwa anahara kabisa
 
wakiamua kufukuza walevi bungeni, watafukuza wabunge wote wa ccm[emoji28] [emoji28]
 
Blaza r yu blindly that serious,juzi kamtoa mlevi uwaziri,nape ni waziri au yupo wcb kwa chibu wazee waloteuliwa ndo walewale 50+ yrs yakurudi reverse na ccm do u expect to do the ccm thing and getting different results from same ccm with the worst president in charge
 
Hicho kikao cha chama kinamalizika lini.
 
Yani na kuwapa kote nafasi wamebaki wenyewe Bungeni ni huu upupu wanadiskus. Wamekuwa kama watoto wa chekechea. Hahahaaaaaa kaazi kwelikweli .
 
Mtoa hoja na mjibu hoja wote ni madebe matupu
 
Mkiwa na wabunge wenye elimu za kuungaunga matokeo yake ni haya! Nonsense kabisa mtu mzima anaongea kama kalala usingizi! Akajenge yeye kwa pesa yake. Huyu Magu mnamgeuza kuwa Mungu au nini maana haijawahi tokea kusikia ujinga huu tangu dunia iumbwe.
 
HAWA NDIO WAMEBAKI BUNGENI KUPOKEA POSHO !
 
Mh! Toka Tulia asema wasioongea bungeni wanakula bila kufanyakazi hivyo hawapati posho wabunge sasa wanazungumza lolote kama maMC wa harusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…