Mbunge wa Karagwe aomba Rais Magufuli alipopigia push up ujengwe uwanja wa kumbukumbu!

Ukiwa mwana CCM . tena ukitaka kuwa mwanaccm kindakindaki, ,mkereketwa,mnazi n.k ni lazima akili zako uzitie chooni kwanza halaf kichwa chako kibaki kama nazi.yaani ndani kuwe na maji tu na smetme hewa kama nazi mbovu. mi nakwambia ni ngumu sana kuwa mwana ccm mwenye sifa hizo kama una akili zako kichwani. ni ngumu sana.
 
Sasa si mlikua mnapropose mh asipoongea kitu mjengoni akatwe posho!
Ndo washaanza kufuka moshi sasa. Eti ndo uyo anataka apigiwe saluti!
 
Sasa si mlikua mnapropose mh asipoongea kitu mjengoni akatwe posho!
Ndo washaanza kufuka moshi sasa. Eti ndo uyo anataka apigiwe saluti!
Atapigiwa tu kwani wakati wa kumpigia salute wataanza kupima IQ yake?
 
Jamani wabunge mnakwenda bungeni kufanya kitu gani. Inasikitisha maana hata mtoto wa darasa la pili angeweza kuleta hoja nzuri. Shule hazina waalimu, badala yake wanafunzi ndio wanakuwa waalimu. Si ungeleta hata hoja hii. Mnakwenda Dodoma kufanya nini?. Sasa nimemkumbuka mbunge mmoja siku za nyuma ambaye alisema vijukuu vyetu watakuja kutufukua kwenye makaburi na kutupima vichwa vyetu kwamba tulikuwa na vichwa vya haina gani maana inaonekana hatuna tunachojua. Kuna wabunge inabidi wapimwe akili.
 
Inno mtu wangu! Du! Mbona unaniangusha sana?Barabara tika Omurushaka kwenda Bushangaro ni mbaya kuliko maelezo.Juzi tu ulidai kwamba tunaogopa kuoa wanawake wazuri a na wajeda.Leo tena unakuja na hii.Kaka ni heri ukanyamaza utaonekana una hekima kuliko kututia aibu kiasi hiki.
 
Namkumbuka makinda, alifikia hatua akawa anawapiga marufuku kusifia make wakipewa dakika kumi dakika tano wanasifia wake zao, dakika nne wanamsifia rais, sekunde 30 wanalalamika sekunde 20 wanagonga meza na sekunde 10 wanaunga mkono hoja.
 
Cha kushangaza zaidi aliyejibu ni zaidi ya muuliza swali kwa upoyoyo na zaidi wabunge wengine walipiga meza wa wa wa wa wa! Kweli ukiwa ccm hata kama ni professor Huna tofauti na mtoto wa vidudu!
 
kama mliweza kusema lile sanamu litoleweliwekwe la diamond kwa hili wala siwez kuwashangaa,,,,,,kwa akili hiz ndo mana mlitaka sifa ya kuwa mbunge ujue kusoma na kuandika
 
Cha kushangaza zaidi aliyejibu ni zaidi ya muuliza swali kwa upoyoyo na zaidi wabunge wengine walipiga meza wa wa wa wa wa! Kweli ukiwa ccm hata kama ni professor Huna tofauti na mtoto wa vidudu!
Mbowe alisema hata maraika akija Ccm ndani ya siku 1 anageuka shetani
 
Mlaumu na mangu pia alichangia
Mungu sio mwizi was kura Na Zanzibar pia Mungu alihusika? Kwa hiyo tukiomba ulinzi juu ya nyumba zetu, Likaja jambazi likavunja kwa kuwa tuliomba tutaamini kuwa jambazi lililetwa na Mungu? Watu wasiomaarifa wanadhani kila Rais analetwa na Mungu. Sio kweli.
 
Umefanya vema kabisa kuwatenganisha wana kagera na huyo mbunge hasiye jitambua
 
Waambie kamanda
 
Kwakweli nafikiri kuna kitu wabunge wa chama chetu hulishwa au kuchomwa bila kujua ktk semina elekezi, haiwezekani Nchi inalundo la matatizo watu wanaotakiwa kuyazungumzi ili yapatiwe ufumbuzi wajadili ujinga kama huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…