kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
kunawatu yafaa kuongoza mbuzi malishoni na wengine kuongoza watu kufikia maendeleo endelevu...lets not mix when choosing...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora nife kuliko kuwa mshabiki na mwanachama wa ccm.Kama huyo ndiye mwakilishi wa wananchi,hali ikoje kwa wanachama na wafuasi wa hicho "CHAMA CHA MWENDOKASI"(CCM)?
Badala ya kujenga mnara/uwanja ambao watakuwa wakiuona watu wa huko ulipojengwa,nafikiri waweke hizo picha katika noti(fedha)zetu ili kila mmojawetu azione,katika moja ya noti hizo wasisahau kuandika nukuu ya mh.kuwa Saddam Hussein ni Rais wa Kuwait.
Hapa ndipo ccm walipotufikisha,watu wanaongea upuuzi hadi kwenye mihimili ya dola,huu ni ujinga wa kiwango cha PhD na katika dunia hii unapatikana hapa Tanzania pekee.
Najua Nape Nnauye, Mwigulu Nchemba, @Kigwangwala na Tibaijuka ni member hapa JF, kwa nini hawawaambi wabunge wao wanaonekanaje na jamii au hata kuwaonyesha wanavyojadiliwa?
Au na wao ndio walewale?
Nape alionyesha upendo kwa hoja hii, naye akapigilia msumari wake hapo, kuwa LOWASSA hakuweza kupiga pushup.Najua Nape Nnauye, Mwigulu Nchemba, @Kigwangwala na Tibaijuka ni member hapa JF, kwa nini hawawaambi wabunge wao wanaonekanaje na jamii au hata kuwaonyesha wanavyojadiliwa?
Au na wao ndio walewale?
CCM Mataahira wengi I see, Luna yule Dada aliyetamani kulia , kuna Lusinde, kuna aliyetaka Sanamu ya sijui nani yule mwamziki, badala ya Askari Luna huyu anayetaka makumbusho ya kubong,oa maana niliziona hazikuwa hata push up. Yaani naona aibu utadhani inanihusu vile.
Nina wasi wasi hujatoroka mirembe kweli? Km hujatoroka una kila dalili za kupelekwa mirembe kwa ndindindi!!!Safi sana huo uwanja lazma ujengwe, sasa nyie si mulikua mnazungusha mikono na viuno
WanaBushangaro Karagwe kumbe tulichagua mtambo wa nguvu!!!. Ameona hilo ndo wazo badala ya kuongelea barabara mbovu, njaa Kali, wananchi kuchangishwa madawati kwa nguvu n.k. Haya tutafika tuuuu!!!!!Wapiga kura wa Karagwe wamepata hasara kubwa kuwa na mbunge kama huyo
Tukisema Mawazo ya wana CCM yameganda tunaonekana wafitini, sasa huyo ndio akili yake imegotea hapo.........