Mbunge wa Kasulu mjini Moses Machalli avamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana!

Mbunge wa Kasulu mjini Moses Machalli avamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana!

Pinda amesema bungeni wapigwe tu polisi pigeni raia mpaka wawe na adabu maana pinda amechoka!!pole mose labda ni ile kavu uliyompa yule madam wa peramiho anayebebwa na mfumo!!!
Inaniuma sana kuwa na mtu mwenye akili za kilukuvi lukuvi kama pinda!!!
 
Tuanze na wenye mgogoro na bwana Machali ili tuweze kuwabaini mapema wahusika wa hilo tukio.

Kumbukumbu zangu; mchango wa mwisho wa bwana Machali bungeni ulikuwa ukiitaka serikali ichunguze suala la Arusha, na kama CHADEMA ikibainika imehusika basi kifutwe haraka sana.

Je, CHADEMA na kichapo alichopata Machali vina mahusiano?

kichwa chako ni 0.4kb
 
Vijana wa Mwigulu waliopata mafunzo rasmi si ajabu hapo walitoka mazoezini maake nasikia wako full kwa kila kitu,Mwigulu iweje uwafunze vijana makonfuu na makaretee halafu huwapatii kazi atleast ya ulinzi wewe unakula vyako tu na mrembo Juliana Shonza halafu nasikia Mwigulu anapewa ile kitu 065....na nasikia kale kadada kanasema yaani mie bila ya ile pande ya Bagamoyo bado sijafika.
 
Out of point yaani tuko op kila kinachotokea basi ni vyama tuuu

"To know the enemy is half the victory"
 
Hapo hakuna kuundwa tume coz wahusika ni JANETH MGEMA na JENISTA MHAGAMA

*** ikumbukwe juzi walitofautiana bungeni na kikao kilipokwisha iluonekana wazi hawa wahusika hao walimpania jambo

Wito:
ICC, wahusika wengine wa ugaidi wahapa tena ni wana wake kutoka #TEAM FASTJET
 
Juzi kamwambia nini yule mama pale bungeni ?
Chezea Jenista weye? Mingine ni mizigo ya watu, SIO kila mtu wa kupandishiana naye.Umeona sasaaa...kidume chake kimekasirika! Jenista at Work!
 
Huyu Mbunge ni mbishi ana kiburi cha kujifanya anajua na ujuaji. Kujiamini sana hadi uswazi ni noma wengine hawakutambui. Tena bahati hawakujua wewe ni mbunge ungepigwa sana maana ubunge wenu mmeufanya ni sehemu ya kuhalalisha dhuluma dhidi ya wananchi.
 
..........mafunzo china, na tumepeleka mwanachejeshi kuratibu, 2015 CCM watashinda majimbo yoooote
 
Back
Top Bottom