Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa magaidi wanaipeleka wapi nchi lakini?
Tuanze na wenye mgogoro na bwana Machali ili tuweze kuwabaini mapema wahusika wa hilo tukio.
Kumbukumbu zangu; mchango wa mwisho wa bwana Machali bungeni ulikuwa ukiitaka serikali ichunguze suala la Arusha, na kama CHADEMA ikibainika imehusika basi kifutwe haraka sana.
Je, CHADEMA na kichapo alichopata Machali vina mahusiano?
live bila chenga hiki ni chama cha kijani kulipiza ile kauli ya majuzi
Chezea Jenista weye? Mingine ni mizigo ya watu, SIO kila mtu wa kupandishiana naye.Umeona sasaaa...kidume chake kimekasirika! Jenista at Work!Juzi kamwambia nini yule mama pale bungeni ?
atakuwa amejipiga ili apate kura za huruma....
CCM na Chadema VIFUTWE- By MACHALI
uyo wa nccr wamemuonea. wabunge wanaotakiwa kujipiga mbona wanajulikana?
atakuwa amejipiga ili apate kura za huruma....