Mbunge wa Kasulu mjini Moses Machalli avamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana!

Mbunge wa Kasulu mjini Moses Machalli avamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana!

Ole Wako uwasemeshe au uwajibu vibaya CCM utakoma.....

nafikiri sasa hivi ndio mpango wao ccm ukiwakera tu kosa. halafu watasema chadema wamefanya hivi ili wananchi waichukie ccm.
washe...................................................i sana ccm
 
Tuanze na wenye mgogoro na bwana Machali ili tuweze kuwabaini mapema wahusika wa hilo tukio.

Kumbukumbu zangu; mchango wa mwisho wa bwana Machali bungeni ulikuwa ukiitaka serikali ichunguze suala la Arusha, na kama CHADEMA ikibainika imehusika basi kifutwe haraka sana.

Je, CHADEMA na kichapo alichopata Machali vina mahusiano?

Mkuu,
Wewe ni mtu mwenye heshima sana hata kama unatumia ID nyingi. Kupotosha mambo kwa makusudi kwa staili hii kunakupunguzia heshima na credibility. Hiyo kauli machali hakuitoa, vinginevyo niletee hansard ya Bunge.
 
mercineries wa jenista mhagama hao,organizer mwigulu chemba la m*vi
 
Wanatakiwa wamvizie pia yule mwendawazimu wa ccm (Chemba), wampe kichapo pia, kwani Pinda amesharuhusu kupeana vichapo...
 
Safi sana.... Kwa nini hawakumng'oa meno hao jamaa wanastahiri zawadi..
 
Tatizo kauli za wanasiasa hawaangalii ni mahala gani na wakati gani wanatakiwa kuzitoa. Kweli mtaumia wengi mnayoyaongea muwe makini na uhakika wake pia..siasa zikiwa za kistaarabu yote haya hayatatokea.
 
Machali kamanda wangu pole sana mh. hao vibaka waliokudhulu walaaniwe!
 
Itafata zamu ya polis wanaojidai nchi yao,wakija kitaa tunakamua mmoja 1, watafata maccm
 
Vijana wa Mwigulu waliopata mafunzo rasmi si ajabu hapo walitoka mazoezini maake nasikia wako full kwa kila kitu,Mwigulu iweje uwafunze vijana makonfuu na makaretee halafu huwapatii kazi atleast ya ulinzi wewe unakula vyako tu na mrembo Juliana Shonza halafu nasikia Mwigulu anapewa ile kitu 065....na nasikia kale kadada kanasema yaani mie bila ya ile pande ya Bagamoyo bado sijafika.

Akili za kibavicha+nchi haitatawalika
 
Hapa kila mtu anaketa jambo lake la kuhisi. Wabongo wanajifanya wanajua ku connect dots. Pole Machali upone mapema.
 
Mkuu,
Wewe ni mtu mwenye heshima sana hata kama unatumia ID nyingi. Kupotosha mambo kwa makusudi kwa staili hii kunakupunguzia heshima na credibility. Hiyo kauli machali hakuitoa, vinginevyo niletee hansard ya Bunge.

Nenda 'google' u-search hii thread "machali: ccm na chadema vifutwe."

Ningependa kuthibitisha kwa 'hansard' lakini bado hazijaandaliwa.
 
Mbunge wa Kasulu mjini kupitia tiketi ya Chama cha NCCR Mh. Moses Machalli


Machalli.jpg




Habari zilizoifikia muda huu kutoka Dodoma zinaripoti kwamba Mbunge wa Kasulu mjini kupitia tiketi ya Chama cha NCCR Mh. Moses Machalli amevamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana katika eneo la, tukio hilo limetokea jioni hii wakati Mh. Machalli akiendesha gari lake mita kadhaa kutoka ilipo nyumba anayoishi baada ya kuwapigia honi vijana kadhaa waliokuwa wakitembea katikati ya barabara ili wasogee pembeni naye aweze kupita kitendo ambacho kilionekana kuwaudhi na kuwakera vijana hao ambao walianza kuipiga na kuigonga kwa nguvu bodi ya gari ya Mh. Machalli jambo ambalo lilimfanya Machalli kusimamisha gari na kushuka ili kujua kulikoni hali iliyopelekea vijana hao kumtolea matusi kadhaa ya nguoni na pindi machalli alipowajibu kwa hasira ndipo kipigo kikali kilipoanzia.


Shuhuda wetu aliyekuwa jirani na eneo la tukio anasema kwamba Mh. Machalli amepigwa na vijana zaidi ya nane jambo ambalo lilipelekea hata yeye kushindwa kumsaidia kwa kuhofia kuunganishwa katika kipigo.

 
Hivi ikitokea una pisto halafu yakakutokea kutakuwa tofauti na Rwanda au somalia? hayo ndo pinda ametamba nayo!
 
Back
Top Bottom