Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Hii ni nini ni ujana au ni uhuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ole Wako uwasemeshe au uwajibu vibaya CCM utakoma.....
Tuanze na wenye mgogoro na bwana Machali ili tuweze kuwabaini mapema wahusika wa hilo tukio.
Kumbukumbu zangu; mchango wa mwisho wa bwana Machali bungeni ulikuwa ukiitaka serikali ichunguze suala la Arusha, na kama CHADEMA ikibainika imehusika basi kifutwe haraka sana.
Je, CHADEMA na kichapo alichopata Machali vina mahusiano?
]Du isije ikwa ndo utekelezaji wa Agiza la Pinda, Kumbukeni usikuule wa kutekwa kwa Dr. Ulimboka alisema "Liwalo na liwe"
Vijana wa Mwigulu waliopata mafunzo rasmi si ajabu hapo walitoka mazoezini maake nasikia wako full kwa kila kitu,Mwigulu iweje uwafunze vijana makonfuu na makaretee halafu huwapatii kazi atleast ya ulinzi wewe unakula vyako tu na mrembo Juliana Shonza halafu nasikia Mwigulu anapewa ile kitu 065....na nasikia kale kadada kanasema yaani mie bila ya ile pande ya Bagamoyo bado sijafika.
Mkuu,
Wewe ni mtu mwenye heshima sana hata kama unatumia ID nyingi. Kupotosha mambo kwa makusudi kwa staili hii kunakupunguzia heshima na credibility. Hiyo kauli machali hakuitoa, vinginevyo niletee hansard ya Bunge.
Du isije ikwa ndo utekelezaji wa Agiza la Pinda, Kumbukeni usikuule wa kutekwa kwa Dr. Ulimboka alisema "Liwalo na liwe"