#COVID19 Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima asema kutokufanya social distancing wakati huu wa Covid-19 ni msimamo sahihi

Halafu usisahau kuwa kwa huo mchango wake analipwa posho na nauli ya siku ambayo ni sawa na mishahara ya mwezi mzima ya baadhi ya watumishi wa umma. Kumbuka kuwa watumishi wa umma wanakatwa kodi lakini yeye mshahara wake wa milioni 10 mpaka 11 kwa mwezi haukatwi chochote...Halafu kumbuka pia, kodi yako ndio inamuwezesha kuzungumza yote hayo..

Rejea: Malipo ya Wabunge ni kufuru
 
Pumbavu zake
 
Kuna watu wanampatia na sadaka
 
PhD uyo
 

Yaani huyu jamaa akiongea tu, naiwaza ile video yake.
 
Ntamshangaa mtu ambaye anawasikiliza wabunge wa Tanzania wakiongea, halafu bado anajiuliza kwa nini hii nchi ipo kindezi ndezi.
 
Ndo faida ya kupitisha wabunge bila kupingwa.Tunaishukuru NeK kwa kuchakachua kura halali za wananchi
 
Tanzania tumefika mbali sana, hata hatujui njia ya kurudia
Ignorance is a bliss
 
Bora nisiwe na dini kuliko kuhudhuria ibada ya Huyo mw,ehu,
Hapa Duniani kuna watu punguani hasa. Yaani na huyu tapeli eti ana kanisa, na kuna watu huwa wanaenda kumsikiliza!!

Huyu ni njia ya kuelekea jehanam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…