SueIsmael
JF-Expert Member
- Dec 11, 2013
- 932
- 1,282
Halafu usisahau kuwa kwa huo mchango wake analipwa posho na nauli ya siku ambayo ni sawa na mishahara ya mwezi mzima ya baadhi ya watumishi wa umma. Kumbuka kuwa watumishi wa umma wanakatwa kodi lakini yeye mshahara wake wa milioni 10 mpaka 11 kwa mwezi haukatwi chochote...Halafu kumbuka pia, kodi yako ndio inamuwezesha kuzungumza yote hayo..
Rejea: Malipo ya Wabunge ni kufuru
Rejea: Malipo ya Wabunge ni kufuru