#COVID19 Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima asema kutokufanya social distancing wakati huu wa Covid-19 ni msimamo sahihi

#COVID19 Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima asema kutokufanya social distancing wakati huu wa Covid-19 ni msimamo sahihi

Huyu mhuni akiongea kanisani kwake kuwa Corona haitakuja Tanzania. .... Inaelekea sasa amekubali matokeo. Corona hsikuyeyukia kwenye ndege kama alivyoomba kwenye madhawabu yake.
 
Mambo ya kisayansi jamaa anaweka imani... unamjaribu Mungu wewe? Usiwafanye watanzania wa leo as if kama wale wafuasi wa Kibwetele!!

Amenikumbusha pia Mbunge mmoja wa CCM aliwahi kusema ati uchumi wa nchi yetu uombewe uwe stable.

Mwanadamu kabla hujafa utashihudia mengi mno!!
 
MKONO WA BAUNSA anasema kutokufanya social distance ndio sahihi????? Au alimaanisha Lock down??
 
Akawaambie waumini wa Kanisa lake!
Bwashee umekumbwa na nini!! Mbona kwa hizi siku za karibuni umekuwa na itikadi za kiukawa ukawa!! Ulianzia kwa Babu Tale!

Vipi, mmepunguzwa kazi ghafla hapo Lumumba kwa sababu ya hili tatizo la upumuaji na hivyo kutofurahishwa na hayo maamuzi?
Alifikili pale Lumumba Kuna posho au teuzi.
 
Angekua mwanamke tunge hoji kama ana flog


Ila Sijawai kuwa na mashaka kuhusu uwezo mdogo wa huyu mla kondoo

"Frog" au "flog"? Maana hata ungeandika kwa Kiswahili ungeandika "Chula" badala ya "chura"
 
Hivi nyinyi bado tu mnamfuatiliaga huyu mjasilia dini , Sasa hivi amekuwa advanced mjasilia siasa pure political interpreneur hiyo Ni empty set .
 
Kweli tumeshida... Rest in Peace to all who have Passed Away, Na Pole kwa wale wote waliopoteza ndugu zao..., Sijui Ushindi huo ni Upi....

Huku ndio kushangilia goli hata mpira haujaanza
 
Huyo ni mmoja wa wendawazimu ndani ya bunge.---- watu tunaendelea kupoteza maisha, jamaa na ndugu zetu wamefariki na wengine wameponea chupuchupu vifo. Yeye anadhani humo bungeni ni kanisani mwake anamoweza kuhubiri nonsense?
 
Back
Top Bottom